Kwaiyo ni rais wakati huo huo anagombea urais. Katiba inatakiwa ibadilishwe, kwenye transition period ofisi ishikiliwe na jurge mkuuMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Hauliwi mtu. Lakini, tupo pamoja naye katika kukabili changamoto hii. Hata mchango wa kuendesha Ofisi tutatoa kwa wakati huu ambapo ofisi imenyang'anywa leseni.Tupo na wewe hadi watuue..
Hii HatariiiWhaaat??!!
Chap kwa haraka hapo waifu natuma jiandae muda wowote upande gari 🥱Sina fanya haraka kabla magari hayajaondoka 🫠🤣
Kwani kuchapisha picha ya Raisi akiwa na mtu yeyote ni kosa kisheria?Kwa nini alipiga na kuzitoa?...apambane na hali yake..
Ni muhimu kulielewa hili unapofanya jambo lazima ujue consequences zake...
Cc; Binti wa zamani kweli huyu kijana ulijua kunichagulia, ngoja nisubiri nauli sasa😂😂Chap kwa haraka hapo waifu natuma jiandae muda wowote upande gari 🥱
Serikali ya Tanzania ina viongozi wajinga na wasio na maarifaWalioko Tanzania wajiandae kuingia JF kwa VPN.
Naamini hawezi kunitia aibu ndogondogo, subiri atume tu hiyo nauli fasta.Cc; Binti wa zamani kweli huyu kijana ulijua kunichagulia, ngoja nisubiri nauli sasa😂😂
Hakika hii ni habari mbaya kabisa, JamiiForums ni chombo pekee kilichokuwa kimebakia kikitoa habari zake pasipo kuegemea upande flani...Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
habari mbaya sana hiiMamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha Leseni ya Maudhui Mtandaoni ya JamiiForums kwa muda wa siku 90 na kuzuia upatikanaji wa jukwaa hilo, kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
TCRA imesema uamuzi huu umetokana na JamiiForums kuchapisha taarifa ya Mwanasiasa Humphrey Polepole kuhusu Rostam kumiliki mgodi wa makaa ya mawe kwa asilimia 70 na taarifa za uhusiano kati ya Rais wa Tanzania na "Mfanyabiashara" Wicknell Chivayo bila kuzingatia mizania.
Kwa mujibu wa TCRA, JamiiForums ilishindwa kutafuta maoni ya Mamlaka husika/Msemaji wa Rais/Serikali, kuthibitisha uhalisia wa picha (za Rais na Chivayo) zilizotumika, na hivyo kuuaminisha Umma taarifa za upande mmoja.
Aidha, TCRA imeeleza kuwa jukwaa la JamiiForums halikudhibiti maudhui yenye lugha ya matusi, kashfa na kejeli dhidi ya Rais wa Tanzania, na kuendelea kuhifadhi maudhui hayo ambayo bado yanapatikana kwa umma.
TCRA imeongeza kuwa maudhui hayo yanakinzana na mila, desturi na utamaduni wa Kitanzania, hivyo kuhatarisha mshikamano wa kitaifa, amani na taswira ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
View attachment 3466708
View attachment 3466706
View attachment 3466707
Hajui mjinga huyoJabiri anachekesha sana....
JF ni mashine ya kukoboa na kusaga....
Viongozi wa Tanzania hawajui safety valve theory.Serikali ya Tanzania ina viongozi wajinga na wasio na maarifa
Hawana uelewa na kitu kinaitwa "Open sources Intelligence" hutakiwi kufungia JamiiForum unatakiwa kufanya extensive scraping ya data na kufanya monitoring ya maoni ya watu kwa ajili ya Usalama wa nchi na masuala mengine ya uchumi.
Kwa sasa ni faida kubwa ya JamiiForum Kuwa huru na watumiaji Kuwa huru hata ile mipango yetu mizito tunawza kuipanga huku kama Twitter, na mitandao mingine ya Magharibi.
MAC address fake inakuajewanacho fanya kukutrack hata jf wanaweza ila nakupa hii mbinu.
1.Usikubari mtu kaingia DM katuma link ukafua ,ukifungua wamenasa IP yako ya kifaa na hata unapokwenda wanajua.
2.hakikisha unatumia kifaa ambacho mfano simu au laptop ina generate MAC address fake kuepuka kugunduliwa.
Ooh ......kumbe anazunguka kukamilisha ratiba tu akizuga kuomba kuraKwani anategemea kura zenu kushinda? shituka usingizini
Ndiyo ameikosa hivyo kura yanguNyie si hampigi kura