Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia JamiiForums

Nipewe ratiba ya maandamano kupinga kufungiwa jf Nisha andaa turaba twangu na pensi vesti kubwaaa kikaumane taka mbele wanakamati


Ask deal of million dollars, kwishaa
 
Daah kifua kimejaa hasira na matusi, ngoja niende mlimani huko nikatukane weee hasira ziishe
Wasituzungushe sana tupewe ratiba wajichague wachache tukatane site tuzichape ili heshima iwepo


Ask deal of million dollars, kwishaaaa
 
Post ziongezeke sasa, ns Moods hakuna kufuta Uzi wowote ule, mkifuta mtaiambia serikali mliwezaje kufuta post ilihal imewafungja
 
bongo tuna fail sana kwenye ku-organize maandamano sijui kwanini
au tuseme ma askari wa bongo wana uwezo sana sijui tunakwama wapi
 
Utekelezaji wa adhabu unaanza lini?
 
bonho tuna fail sana kwenye ku-organize maandamano sijui kwanini
au tuseme ma askari wa bongo wana uwezo sana sijui tunakwama wapi
Mkuu maandamano ramani Iko hivi yafanyike usiku saa mbili mpaka saa tatu usiku kwenye Giza hiyo vagalanti hawato kuja sahau


Ask deal of million dollars, kwishaa,
 
Mtoto mzuri cocastic alikua ashaanza kuja kwenye mfumo mnani rudisha nyuma Tena Yani mambo mengine ukifikiria unachokaaaaa


Ask deal of million dollars, kwishaaa
 
Hivi wao hawa-enjoy yaliyomo humu.Yaani kati ya mazuri na mada mamia zilizomo humu, wameona ya Polepole ndo issue??
Viongozi wajitafakari, kinachofanyika sio sawa..hii nchi uonevu mwingi sana
 
sisi tulioko pakistani, tutawasilianaje na jamaa zetu huko bongo?
 
Wakuu msizime nipate kwanza NAMBA za cocastic wakuu feel sory wakuu kama nmewakosea🙏🙏🙏🙏



Ask deal of million dollars, kwishaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…