DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

DOKEZO Mamlaka zinasubiri nini kufanya uchunguzi wa tuhuma za Ushoga pale WCB?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Muda si mrefu, zile nguo za kijani zitawekwa chapa ya Rangi za upinde wa mvua.
Moja ya masharti ya kujiunga na wajenzi huru, lazima uutangaze na kuulinda ushoga.
Hilo kundi hakuna asiyejua, na wana nguvu kiasi sasa wataongeza wawakilishi wao kule bungeni.
Sema zitawwkwa rangi za 5imba
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo uko ktk vazi jinginee? Woiiiiiih
Ila waja wana nongwa, akat ndo hao hao kutwaa kuranda randa kuwafata vidampaa.

Mxxxxiiiiieeeew zao.
😂😂😂
Hii mada bila ww ingekua ajabu sana
 
Duh
If you want to be top you must accept homosexuality hayo ni masharti asilimia kubwa ya wasanii wapo hivyo refer na kauli ya chidi benzi hata gabo kwenye kipindi cha Salama na alifunguka kuwa kama anataka kuwa star kwanza akubali kuwa kama shoga kwenye movie alipoenda nje ya nchi kuomba nafasi ya kuingiza kwa hyo kiufupi wasanii wetu wameharibikiwa.
Mtiahani mkubwa Huu
 
Zipo tuhuma zinazolikabili kundi la muziki nchini linalopendwa na wakubwa pamoja na watoto na ndiyo kundi linalotumiwa hata kwenye kampeni za kisiasa.

Kwenye kundi hili kuna watu wa ajabu wanaosadikika Kuwa wanajihusisha na mapenzi ya jinsia moja na kuna videos nyingi zinawaonesha watu hawa haswa kwenye shoo zao mbaya zaidi wamejificha kwenye kivuli cha "udizaina".

Wahusika na hili fanyeni uchunguzi HARAKA iwezekanavyo siyo kutaka kuifungia Twitter ''X'' na madanguro wakati kuna mambo ya ajabu yanafanyika wazi wazi hii nayo ni HATARI katika jamii yetu na WATOTO wetu.

Hii video Haina mahusiano yoyote na HABARI hii.

View attachment 3019596
wanasubiri video chafu za ushoga zivuje ndio washughulikie hayo madai ya hivyo vitendo
 
CHAMA LA WANA.png
 
Huwa sipendi kabisa hiyo kitu, kama ni kizuri wakafanye kwa ndugu zao
Kuna kitu naona kinachanganya watu wengi kuna wanaume wamezaliwa na genre za kike but sio mashoga shoga ni mwanaume yule ambaye anaingiliwa kinyume na maumbile sass kwanini tunawatuhumu kila mwanaume ambaye anahaiba ya kike ni shoga? na
Wakati unakuta ndio namna alivyozaliwa yuko hivyo
 
Nina siku nyingi sana sisimfagilii tena huyo mwamba baada ya kuona anawaunga sana mkono hao wadau wa upinde.
Anaungamkono au anapenda kazi yake anaifanya kwa ufanisi? we si umeona hapo alivyopendeza hiyo yote ni kazi nzuri ya bwana Noeli
 
JAMAA ANAWAFUMUA TU AISE
Msipende kutuhumu vitu ambavyo hujui huyo noel ni fashion designer wa diamond kwenye mavazi na ni fundi kwenye hiyo kazi anapataga tenda mpaka ufaransa, unamuona diamond anapendeza kwasababu ya huyo anawekwa kwenye muonekano wa kistaa zaidi.Mwenzako kaangalia hapo ubora wa kazi kutokana na Sanaa yake wewe umeangalia ushoga wa huyo noel lazima umtofautiane
 
Tuwekane sawa iko hivi

Mtoto wakiume anapo zaliwa uzaliwa akiwa amekamilika asilimia 100 Kama mtoto wakiume.

Hizi mambo sijui haiba ya kike, sijui genetic za kike, sijui hormone za kike ni utetezi tu.

Ushoga Ni tabia ya kujiendekeza au kuendekezwa.

Wote tumezaliwa tukiwa empty kichwani yani akuna tulilokua tunalijua ila unayo yajua na kuyafanya ni matokeo ya kujaza na kujazwa vitu sio na ndio kichwani.
 
If you want to be top you must accept homosexuality hayo ni masharti asilimia kubwa ya wasanii wapo hivyo refer na kauli ya chidi benzi hata gabo kwenye kipindi cha Salama na alifunguka kuwa kama anataka kuwa star kwanza akubali kuwa kama shoga kwenye movie alipoenda nje ya nchi kuomba nafasi ya kuingiza kwa hyo kiufupi wasanii wetu wameharibikiwa.
Duuuh naomba hiyo interview ya Gabo, natamani kuitazama.
 
Jamani Noel yupo hapo kikazi anawadizain Diamond na watu wake.Hata kama ana hizo tabia lakini wcp hapo ndipo anapata rizki zake!Acheni kuhukumu hawa watu hata kwenye shughuli za kawaida maana mwisho wa siku nao ni watu.Nyie mbona ni malaya,wafiraji,wachawi,wala rushwa hamjihukumu muda mwingine acheni watu waishi eeeh
Bora wee usemee.
 
Back
Top Bottom