kila taifa duniani linaomba mikopo na ia lipa rais wetu anaomba mikopo na analipa yote hiyo anayoomba ingekuwa ni misaada tu wanatoa basi tungekuwa matajiri sana lakini ile ni mikopo kwahiyo HAWAWEZI KUTUENDESHA KIRAHISI NAMNA HIYO NA TUWAOGOPE KISA WANATUKOPESHA NEVER HAKUNA RAIS LEGELEGE WAHIVYO ANAYEWEZA KUVUMILIA MANENO YAO LAZIMA WAPEWE UKWELI hii ni nchi huru haiwezi kuwa inapangiwa mambo ya kufanyaAliongea kwa kupanic sana huyo mama, anawavimbia wakati kila leo anapita na bakuli lake kuomba omba huko kwao
Sababu si za kupotea watu....Nenda kaangalie exchange rate shilingi inavyopulia oxygen ndo utajuwa hujuwi...
Mbona tuko on right track? Kwani Kuna shida gani?Wewe kwa macho yako unachoona kinachoendelea na kuendelea kuendelea bila taasisi husika kuzimaliza ni right ? Hatuna muda wa kupambana na mabeberu wakati kuna vingi vya kufanya ambavyo havijafanywa
Right Track ? Kifo cha mtu yoyote kwa kuuwawa sio right track (should never happen in the first place) watu kutokuwa na imani na polisi (rightly or wrongly) sio right track ni the road to anarchism.., sasa how did we get here ? Huwezi kuniambia the People in Power hawahusiki atleast kuhakikisha kwamba hapa tulipo sasa tusingefika... Narudia huu sio muda wa kurushiana vijembe ni muda wa kuomboleza na kuangalia wapi tumekosea ili turekebishe...Mbona tuko on right track? Kwani Kuna shida gani?
Waliambiwa waende wajiunge nao na si kupiga makelele wenye nchi yao.USA imewatesa raia zake kuhusu Palestina
Tulisema juzi ,kwa maneno yale alifika mbali sana, ila kila jambo linatokea kwa sababu Mungu yupo kaziniIngawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Chawa plus plusAcha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?
Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
Fedheha kwa mwanamke na mwanamme ni tofautiHaitakuwa mara ya kwanza....waliandamana pia kipindi cha JPM....
Kipi kilibadilika?!!
Ungekua na akili timamu usingesema hivyo,ungesoma huo mstari wangu wa mwisho na kuuelewa,Chawa plus plus
Africa tuache kuchagua maRais despots, CCM na JPM walimpa huyu kwa sababu ya Jinsia wala siyo sifa - DEI, sasa haya ndiyo yanayotokea. Mgombea anachagua mwenza Ambaye ni kilaza atakaye msikiliza. BingoIngawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
make sure unarejesha marejesho ya mikopo yako kikoba kwa wakati kuepuka faini na hayo ndiyo maisha..Unaishi kwa mikopo na misaada halafu unajitutumua hatuishi bila misaada..!!
Wakati kutwa kucha kiongozi wenu kiguu na njia kutembeza bakuli kuomba misaada na mikopo.
Halafu unatamba eti, Hatuishi misaada.
Mwendokasi yenyewe imewashinda kuiendesha, kwanza wachina ndio wanasaidia kujenga kwa sababu mna upumbavu wa milele.
Hamuwezi kufanya chochote kwenye dunia hii, Zaidi ya uchawa na kujipendekeza.
Nimekuelewa mkuu…lilikuwa ni angalizo tu.. mwenye nguvu- mpishe…Hatutishwi na vibaraka Wala beberu wao.
South America yote wanawakoromea US Kuna Cha maana amewahi kufanya?
Harafu mtu dhaifu ndio ataogopa Kufa wakati mwisho wa siku atakufa 😆😆
Kwa sababu wao wanaua na sisi tuue ?Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?
Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
Ulikaa kimya kwa sababu ya ujinga wakoWao enyewe USA wamewatesa sana raia wao waliokuwa wanaipinga Isreal. Mbona tulikaa kimya?
Wewe ulipiga kelele?Ulikaa kimya kwa sababu ya ujinga wako
Hakuna sehemu niliyosema hivyo,Kwa sababu wao wanaua na sisi tuue ?
Za nini ?Wewe ulipiga kelele?
Ingawa ni Firstpost, ambayo ni ya India, habari ni kwamba kauli zake zimeshavuka mipaka.
View: https://youtu.be/TmbbANwpujQ?si=cjkbHAfI-mvUpAY3
Umeelewa swali la Nyani Ngabu?Acha kua na fikra za kitumwa wewe,hakuna nchi ambayo hua inataka kuingiliwa kwenye internal affairs zake.
Hao US si ndio wanatoa silaha zinazoua Wanawake na watoto huko Gaza? kwanini wasijirekebishe wao kwanza?
Sijaongea kwa ushabiki wa kisiasa coz mimi hua sibishani mambo ya kisiasa hapa bali nimeongelea uhalisia.
Wewe umeelewa maelezo yangu?Umeelewa swali la Nyani Ngabu?