Nimekupata vizuri: Tulinganishe uadilifu wa Lissu, Heche etc against uadilifu wa Samia & co! Haiwezekani. Ni sawa na kulinganisha dunia na mbingu.Sasa naelewa kwa nini CCM wanamchukia sana Lissu. Hakuna mtu asiyejua kwamba Lissu anachukia sana mambo ya rushwa na CCM wamemuonga na amekataa. Kwa hiyo wanajua kabisa jamaa akichukua nchi mambo yakuiba fedha ndo yatakuwa yamekwisha. Na watu watafungwa kwa sababu ya wizi wa mali za umma.
Sijawai kusikia mwanaCCM yeyote anayejaribu kutetea chama chake na watu wake kwa kulinganisha unyoofu wa Lissu ama Heche etc na Samia, zaidi sana ni porojo tu za kishabiki ambazo hazina uhalisia.
😂😂😂Walipewa tshirt za hatuna den , na mitano tena na kupewa target ya kukoment kwa social media kwa 10
Mi nimesema tu aweke na statement ya Tibaijuka we tayari unakuja na utetezi, kuna nini hapo!Tibaijuka ile ilikuwa pesa ya shule. Sema tu kwasababu aliyempatia aliiba na yeye akaingia kwenye kashafa na akawajibika.
Tibaijuka hakufanya ufisadi yeye mwenyewe. Ukiomba misaada ya kusaidia watu huwezi kujua source ya kila pesa.
ANa state the facts sio utetezi. Billions ya mtumishi wa umma vs million 20 ambayo hata mm naweza kumtumia hecheIla mbona kama Mange anamtetea sana Heche kuna nini kati yao... inatia shaka
Makamu Mwenyekiti wa "Chama kikuu cha siasa nchini" anawekewa hela zisizo na maelezo yanayoeleweka unakuja kutuambia ni mambo binafsi? Halafu mnajitutumua kujidai ni waadilifu? Nyinyi ndio ambao Mh. Makonda alisema mnapinga rushwa kwasababu hampo jikoni, siku mkiingia tutakuta mmjaa mafuta mdomoni, usoni na mikononi.Tofautisha matumizi ya mali ya umma na mali binafsi.
Hao wote ni CCM, tukiwaambia CCM yote imeoza hamtaki kuelewa.Aweke hapa na statement ya Prof. Anna Tibaijuka
Unajua kiasi cha mshahara anachopokea afisa wa ngazi hiyo? How in hell anafikia loan ya 1b?Mange ana hoja, lakini hizi nyaraka zake zina walakini.
Statement imeonesha kabisa kuwa ile 1b ni loan disbursement , ila kwa jinsi ilivyo chanwa chanwa.. inaonekana kuwa ni ya mchongo..
Sio rahisi kupata bank statement ya mtu ila ya Heche anayo Katuga na hakuna hatuo yoyote kachukuliwa! Au urahisi upi unaongelea?Huyu kahaba anajua kuwapumbaza wale nyumbu wake wa chadema, na wanaamini kabisa hiyo taarifa ni ya kweli. Siyo rahisi kupata statement ya benki ya mtu sembuse ya IGP? Tumieni akili badala ya makalio. Huyo mfanyakazi wa benki atakayejaribu labda hajipendi, kwa teknolojia iliyopo atakayehusika na huo upuuzi anajulikana. Mnatengeneza upuuzi wenu kujaribu kupandisha hasira za wananchi, kuchochea chuki dhidi ya viongozi, ila ni wapumbavu wachache mtawapata, mwisho wa huyo malaya ni mbaya sana!
Ufisadi ni ufisadi tu, utajaji mwenyewe ufisadi upi unaliumiza taifa ule wa Heche kuingiziwa m20 au huu.Makamu Mwenyekiti wa "Chama kikuu cha siasa nchini" anawekewa hela zisizo na maelezo yanayoeleweka unakuja kutuambia ni mambo binafsi? Halafu mnajitutumua kujidai ni waadilifu? Nyinyi ndio ambao Mh. Makonda alisema mnapinga rushwa kwasababu hampo jikoni, siku mkiingia tutakuta mmjaa mafuta mdomoni, usoni na mikononi.
Najaribu kufikiri una point gani hapa. Je, unaamini kwa moyo wako kwamba Heche nae ni fisadi? Btw, mimi najua ufisadi, in this contet, ni wizi wa mali ya umma. Hata fedha na mali za Chadema ni mali ya umma. Kwa jinsi ambavyo ccm wanahangaika na Lissu, Heche na chadema kwa jumla, ingekuwa kweli Heche amefanya ufisadi hata wa senti moja, sijui angekuwa wapi muda huu. Maama tunajua polisi ni ya ccm, mahakama ni ya ccm, takukuru ni ya ccm, tiss ni ya ccm ... Shit!Ufisadi ni ufisadi tu, Wizi ni wizi tu na Rushwa ni rushwa tu. Hakuna fisadi mkubwa wala mdogo, Hakuna mwizi mkubwa wala mdogo, vile vile hakuna mla rushwa mkubwa wala mdogo. Kama ni ufisadi wote waitwe mafisadi, kama ni wezi wote waitwe wezi na kama ni wala rushwa wote waitwe wala rushwa.
Kipimo kile kile kinachotumika kuwapima wanachama wa CCM, ndiyo pia kitumike kumpima na Heche. Kama kweli tunapinga ufisadi hatupaswi kuwa na double standards. Bwana Yesu alitufundisha "Kwa kuwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa" Mathayo 7:2
Swali halijajibiwa.Ufisadi ni ufisadi tu, Wizi ni wizi tu na Rushwa ni rushwa tu. Hakuna fisadi mkubwa wala mdogo, Hakuna mwizi mkubwa wala mdogo, vile vile hakuna mla rushwa mkubwa wala mdogo. Kama ni ufisadi wote waitwe mafisadi, kama ni wezi wote waitwe wezi na kama ni wala rushwa wote waitwe wala rushwa.
Kipimo kile kile kinachotumika kuwapima wanachama wa CCM, ndiyo pia kitumike kumpima na Heche. Kama kweli tunapinga ufisadi hatupaswi kuwa na double standards. Bwana Yesu alitufundisha "Kwa hukumu ile mhukumuyo, ndiyo mtakayohukumiwa" Mathayo 7:2
Unataka ushahidi gani wa wizi? Mbona hawa wengine hamsiti kuwahukumu kutokana na kiasi kilichomo kwenye account zao? Ushahidi kuwa hizo ni pesa za wizi uko wapi?Ungeweka ushahidi kwamba huyo mwenye kidogo ni mwizi ingeleta maana.Unaweka shutuma tu bila hata ushahidi kuthibitisha!?
Case closed. Umemaliza mkuu.Sio rahisi kupata bank statement ya mtu ila ya Heche anayo Katuga na hakuna hatuo yoyote kachukuliwa! Au urahisi upi unaongelea?
Aliyesema Watanzania tumerogwa hakukosea, mtu anatokea kutetea fisadi aliyeuza bandari eti sawa na fisadi aliyewekewa m20, au mimi ndiye niliyerogwa zaidi sijijui.Najaribu kufikiri una point gani hapa. Je, unaamini kwa moyo wako kwamba Heche nae ni fisadi? Btw, mimi najua ufisadi, in this contet, ni wizi wa mali ya umma. Hata fedha na mali za Chadema ni mali ya umma. Kwa jinsi ambavyo ccm wanahangaika na Lissu, Heche na chadema kwa jumla, ingekuwa kweli Heche amefanya ufisadi hata wa senti moja, sijui angekuwa wapi muda huu. Maama tunajua polisi ni ya ccm, mahakama ni ya ccm, takukuru ni ya ccm, tiss ni ya ccm ... Shit!
Hata ukiuza Nchi Tanganyikà yote na uwe CCM watakutetea na kukulinda ila aliyeuza gunia la mahindi la 50,000 atanyongwa.Aliyesema Watanzania tumerogwa hakukosea, mtu anatokea kutetea fisadi aliyeuza bandari eti sawa na fisadi aliyewekewa m20, au mimi ndiye niliyerogwa zaidi sijijui.
Litajibiwaje wakati hamtaki uchunguzi ufanyike? Uchunguzi ndio ungeweka wazi sababu ya yeye kuwekewa pesa hizo. Hata hao aliowataja Mange nao ilitakiwa wachunguzwe ndio ithibitishwe kuwa ni pesa haramu.Swali halijajibiwa.
Kuwekewa fedha 10 ml or 20 ml kwenye account yake ni kuiba ??
Wizi wa kimazingira, wewe ni mtumishi wa umma mshahara wako unajulikana ni 1.5m akaunti inasoma b20, kwanini watu wasihoji.Unataka ushahidi gani wa wizi? Mbona hawa wengine hamsiti kuwahukumu kutokana na kiasi kilichomo kwenye account zao? Ushahidi kuwa hizo ni pesa za wizi uko wapi?
Amandla...