Unaweza kututajia makabila mawili yanayopatikana Uingereza?Kwani wazungu wao hawana makabila? Mbona sijawai kusikia wana umoja wao mfano, umoja wa watu wanatoka Manchester city?
Tofauti ni nini?Ulio wataja, makonda, mabeyo, mnyeti hawapo idara moja, nitofauti na dhamani kipindi cha mkwere ukienda TRA, kamishina, afisa elim ya mlipa kodi mchaga, afisa utawala mchaga,Afisa mipango chaga, mnatakiwa mkila na kipofu msimshike mkono tatizo lawachaga hawajui kula na kipofu
Kwahiyo na vikao vya familia vifutwe?RC yupo sahihi ni kuleta ukabila tu na ubaguzi , futa kabisa huo upuuzi
Umesoma vizuri? Amesema anataka vya makabila ya Manyara tuRC yupo sahihi ni kuleta ukabila tu na ubaguzi , futa kabisa huo upuuzi
Huwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiri,hao wengine nani amewanyima kuwa na umoja wao?nafikiri makabila mengine yanapaswa kuiga spirit ya wachaga.Hapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
We jamaa ndo mchawi humu alafu unajidai kushindilia kabisa na maneno ya kibiblia😂😂Ni mpango wa Mungu mwenyewe kutoa majibu kwa farao wa kichaga na wazaliwa wao kwa kutesa na kuonea Wana Israel wa makabila mengine kwa miaka mingi
Hawawaon wahindi, waarabu, wanakomaa na wachaga. Uchawi ndio shida yetu kubwa ( kum-pull down alie juu baadala ya kuiga mbinu alizotumia kufika hapo alipo), so sad uchawi unapewa baraka, term hii kweli ya kishamba💩Huwezi kuwa tajiri kwa kumchukia tajiri,hao wengine nani amewanyima kuwa na umoja wao?nafikiri makabila mengine yanapaswa kuiga spirit ya wachaga.
Dhana ya ukabila haijawahi kuwepo Tanzania, ndo inaanzishwa taratibu.Binafsi RC yupo sahihi, kama ni kushirikiana waaanzishe vyama vya kijamii vitakavyojumuisha makabila yote yaliyopo mazingira hayo, bila kujali dini,rangi,vipato n.k n.k
Tutaondoa dhana ya ukabila
Yes niko Ifakara huku tena mwenzao akifariki hata maduka hawafungui siku iyo kabisa na ukifungua wanakupiga fainiHivi ULISHAWAHI kusikia kikundi kinachoitwa umoja wa WASUKUMA?
Ndiyo ukabila unaopigwa vita nawa Tanzania huonipo w
hapa mtaani kwetu nyumba zote ni za wachaga kuanzia nyumba ya kwanza mpaka ya mwisho,hakuna hata moja ya kabila lingine! mtaa umetulia hakuna uswahili kwa ufupi ni uzunguni ! my late grandfather alikua anaamini wasio wachaga ni savages alikua anawaita watu wa porini, kwa akili kama zako alikua sahihi kabisa kuwaita hivo
Hakuna lolote hapo ndiyo mnawaongezea mshikamanoHapo Mkuu wa Mkoa wa Manyara, yuko sahihi. Hawa watu wa mkoa huo tajwa wana ubinafsi sana.
Wa Iraq na wamasai sio ubaguzi?,Mnamaanisha kila kabila wakae na kuishi kwao?,basi Ngosha nae Arudi kwao......,Kweli ukianza na SHETANI HUWEZI KUMALIZA NA MUNGU....,Mmefikia hatua ya kuogopa vyama vya kufa na kuzikana?RC yupo sahihi ni kuleta ukabila tu na ubaguzi , futa kabisa huo upuuzi
Anawapa seminar elekeziJiwe anawapenda sana hawa ma RC na ma DC vichwa maji, na sijui huwa anawatoa wapi. Au ndio ndege wenye manyonya....