ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Naasi akopoleni sana kina saitaa mwenyenzi mungu awajalie nguvu na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Hii ni landslidesZamani iliitwa volcano, siku hizi sijui hiyo inaitwa nini.
Na kuna uwezekano ikaongezeka.So sad pole kwa wahanga wote, idadi ilikua 5 now 17 duh🙄
Aisee sasa inamaana huko milimani ndiyo mvua imenyesha zaidi?, maana wanasema huku kwa watu mvua haikua ya kutisha hivo hadi mafuriko🤔Na kuna uwezekano ikaongezeka.
Achana naye huyo aliyekuwa anajiita Ali Shanto!
Halafu jamaa amejiunga JF miaka zaidi ya 12 iliyopita, kwahiyo ndo hawa wapigania uhuru wetu.Hahaha apo sijui serikali ilitakiwa ifanye nini?
Sawa ulisema,Niliposema mwaka huu hakuna elnino watu walinibishia haya kiko wapi?