hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 6,853
- 4,552
Sasa kwani we ndo mpenzi wake wa kwanzaSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Sasa unataka kuacha mtu makusudi ili ahuzunike au? Unaambiwa siku hizi hakuna mtu wa mwenziwe, sasa ni kushare tu na kupeana UTI mtindo mmoja.Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Shooga weeee,,aliogopa eti nakubalije kirahisi ivo 😂😂🙌🏾si kachezea shilingi chooni huyuMbona ni rahisi tu jamani,,,, enhee hivi yule kijana wa asubuhi ulienda kumsaidia😂😂
Mbona mwandiko unaonyesha hata sasa hivi upo kwenye maumivu ya mapenzi?Ashukuriwe Mungu mapenzi hayajawahi kunitesa,hela dada hela🤗🤗🤗🤗
Nikikosa Hadi huwa nalia😀😀😀😀😀😀😀
Kwenye mahusiano inatakiwa uwe na option nyingine ukiwa na mmoja lazima ukutane na vipengeleNaona wanakuwa na wengi siyo bure
Dah! Haya mapenzi ya siku hizi utapeli mwingi sanaKwenye mahusiano inatakiwa uwe na option nyingine ukiwa na mmoja lazima ukutane na vipengele
Komredi nani sasa mkuu?Komredi uko vizuri sana, nakupa pongezi juu ya hili.
I thought angetaka suluhisho, lakini naona alikuwa na plan B, kweli sikuwa napendwa🥲We uliacha yanini kama hukuwa tayari? Watu wa aina yako hufurahia sana mtu akiteseka, mnajivisha umuhimu mkubwa ndani ya maisha ya mtu kitu ambacho si sahihi na hii ipo sana kwa wanawake hasa wakishajua wanapendwa.
U lipo kuwa, nae,MLI kuwa, mna share na mwingine, ukiondoka, hateterekiSasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi wengi ndiyo maana hawaumizwi wakiachwa na mmoja?
Nikikumbuka jinsi nilivyomganda yule mama kabla ya kuamua finally kukubali aende , aaah najiona fala sana. Yan mpaka magoti nikapita mbele ya bara la kata 😂.
Halaf baraza lilijaa wanawake tuu na yeye ndio kaniburuza kunipeleka huko halaf nampigia magoti arudi home tulee watoto halaf yeye akagoma! 😂😂😂.
Hivi yale mambo kweli ndio uwafanyishe vijana hawa wa leo kabisaa? Hawawezi!!!!
😂😂😂😂atakuwa ni kijana mdogo ndiyo maana muogaShooga weeee,,aliogopa eti nakubalije kirahisi ivo 😂😂🙌🏾si kachezea shilingi chooni huyu
Just imagine yeye mwanaume ndiyo ana kosea zaidi na hataki suluhisho anakaa kimya, hasira zimimuisha ndiyo anakutafuta hivi hayo mapenzi mnaweza kuendelea kweli?Mimi nishasema kama hatuwezi kuongea yakaisha kati yangu mimi na mpenzi/Mke wangu Hilo husiano Limeisha
I thought angetaka suluhisho, lakini naona alikuwa na plan B, kweli sikuwa napendwa🥲
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Mbona hatari sasa hii, si mtatuletea magonjwaSasa unataka kuacha mtu makusudi ili ahuzunike au? Unaambiwa siku hizi hakuna mtu wa mwenziwe, sasa ni kushare tu na kupeana UTI mtindo mmoja.
Mapenzi ya siku hizi utapeli ni mwingi sana
Just imagine yeye mwanaume ndiyo ana kosea zaidi na hataki suluhisho anakaa kimya, hasira zimimuisha ndiyo anakutafuta hivi hayo mapenzi mnaweza kuendelea kweli?
Pole yake sana, unajua kuna muda sisi wanawake tunaendeshwa na mihemko au niseme hisia sijui, huwa tunaweza kufanya maamuzi bila kufikiria mbeleni itakuwaje, ila mimi naona tu nilikuwa sahihi kwasababu tupo mbali just imagine mnakaa hata 4months hamuonani, hivi si ntakuwa nacheatiwa huko aliko?Kuna manzi mmoja alitingisha kiberiti miaka 2 iliyo pita, Hakuamini nilivo accept wazo lake, baada ya wiki 2 ananipigia simu ikapokerewa na sauti nyororo ya mtoto wa kimeru.
Pamoja na kusema nilikapenda, Ila siwezi kubembeleza mahusiano mimi.
saivi, amebaki kua status viewer tu
Sasa ukilala na hasira huoni kama ni tatizo, je huyo unaemkasirikia akafariki?Kama anasubiri hasira zimuishe ndo muongee huyo mzuri. Sasa unaongea nini na mtu ukiwa na hasira, si utamtukana tu/Kumpiga