Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Basi mtajuana wenyewe ungemwambia ivyo angekubali Sasa ushamwabia muachane YEYE akakubali matokeo , mpigie simu kama unampenda kweli ila kama haumpendi unataka attention kwake mkaushie
Ni muda mrefu itakuwa kashamove on kiukweli ukweli
 
Sasa ukilala na hasira huoni kama ni tatizo, je huyo unaemkasirikia akafariki?
Katika kitu sipendi na sitawezana na mwanaume anayeweza kulala huku hatuna amani.

Watu hawafanani, Kuna mtu akiwa na hasira atakuropokea vitu utajiona huna maana, hufai kila ukijiangaloa kwenye kioo
 

Mihemuko kwa wanawake ni sawa.

Na swala la kuchitiwa kama mko mbali ni kawaida pia, Muhimu kama kuna mawasiliano na mipango ya kuja kua pamoja mbeleni.
 
Kuna mwanamke mmoja mfupi anakichwa kikubwa nimetoka kumuambia tuachane hajatetereka,anakuma tamu sana,natamani niombe samahani ila siwezi 😄
😂😂jishushe kamnunulie vizawadi umpelekee
 
Hakuwa na red flags

Uchumi wangu uliyumba nikataka kupunguza majukumu maana nikama nilikuwa na familia tatu(ninapoishi mimi,nilipompangishia na familia yangu iliyokuwa km 30 kutoka nilipokuwa)
Kweli ilikuwa haki yako kufanya hivyo, pole sana mkuu
 
Mihemuko kwa wanawake ni sawa.

Na swala la kuchitiwa kama mko mbali ni kawaida pia, Muhimu kama kuna mawasiliano na mipango ya kuja kua pamoja mbeleni.
Sasa kama anacheat vipi siku akinogewa huko akanipunguza miye bora nimemuwahi😂😂
 
Ma
Hata mimi tangu nimejitambua siumizwi na mapenzi ni vile tu nashangaa hili tukio

Mapenzi ndivo yalivyo, na hivyo ndivyo yanavotesa"
Si juzi kati tu ulisema ulimkataa aged broken single father, na ukasema ni bora uwe na age mate wako ambae anajitafuta? Kupanga ni kuchagua"
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Bado sana!
Niliwahi kupoteza hela kizembe nilivurugwa,nilichanganyikiwa,mtu alikuwa akiniuliza tu una tatizo gani nalia wakajua nimeachwa🤓🤓🤓🤓🤓🤓
Mm nilipotezaga mara nyingi
Nikaomba zilizopotea zirudi na zaidi
Nikajaga kuokota 90K Alf hapakuwa na mtu na ni hiyo hiyo sehemu niliyopoteza hela
 
Ni kama Polepole ameacha kuwa sehemu ya uongozi wa SSH, lakini yeye ndio amebaki kujiongelesha nonstop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…