Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

"Akikukosea usimsamehe na sisi tunakutaka."
 
Lakini kwanini uumie na response ya mtu usiyemhitaji?
Humtaki, kakubali anaendelea na maisha yake!

We unaumiaje sasa?
Au ilibidi agaregare ndo uone umempa muacho mmoja saaaafi!?
๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€ ๐Ÿ˜€
 
Ndiyo ilibidi aomboleze
 
Mbona hatari sasa hii, si mtatuletea magonjwa
Ndiyo maana yake, watu hawaogopi tena magonjwa...zamani ukisikia fulani ana ukimwi unamuogopa Iล‚a sasa anaonekana shujaa na hata akitongoza anakubaliwa na kupewa mzigo, hela zako tu. Wenyewe wanakuambia ukimwi tunaishi nao tu kama malaria na uviko dawa za kufubaza si zipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ