Mapenzi ya siku hizi ni ya ajabu sana, mtu unamuacha baada asononeke ndiyo kwanza anaenjoy tu

Kama una tabia chafu, ni ombaomba, mdomo sana nani asikite kuachana na wewe.
 
Kweli hakuna kipya kwake
 
Basi nikadhani hizi habari ni huku kwetu kijijini ndo zipo kumbe hata huko mjini dasalam zimekuwa sugu
 
Ukiona hivyo Ulikua mzigo mshkaji wangu. Kiuchumi na kimapenz 🀣🀣 Yaan kitandani pia ziro..
Badirika bro
Dah! Hili limeniumiza sana😌πŸ˜ͺ😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…