Wakati huo ISIS walikuwa na Muingereza mmoja aliyesilimu akiitwa "jihad John" aliyekuwa akiwachinja sana mateka. Kabla ya kuja kuuawa na milipuko ya Wamarekani hapo Syria . Ni wazi hakuna urafiki kati ya Marekani au Israel na ISIS.Hili pia linahitaji utafiti kuthibitisha hilo....
Kama ndio hivyo mbona Marekani, UK etc walishambulia Isis kule Syria na Iraq ?....badala ya kumuacha rafiki wa Israel yaani Isi atambe.
Where Is ISIS Getting Its Weapons?Wahusika wameshakiri.
IS claims responsibility for deadly Iran bombings that killed 84
The Islamic State group says it carried out Wednesday's attack in southern Iran that killed 84 people.www.google.com
Mashia wa Iran Sio Waislamu Kwa mujibu wa ISIS.Miaka yote tukisema hicho ni kikundi kilichoanzishwa na Wamarekani watu hawatuelewi.
Unaongea fikra zako hujui chochote wewe.Wakati huo ISIS walikuwa na Muingereza mmoja aliyesilimu akiitwa "jihad John" aliyekuwa akiwachinja sana mateka. Kabla ya kuja kuuawa na milipuko ya Wamarekani hapo Syria . Ni wazi hakuna urafiki kati ya Marekani au Israel na ISIS.
WaIran wanauawa Kwa tofauti ya Itikadi. Mashia wa Iran hawakubaliki kama Waislamu n ISIs.
Silaha ambazo Marekani ilitoa awali kwa waasi wa Syria zimeishia mikononi mwa Islamic State nchini Iraq na Syria (ISIS), kulingana na utafiti uliotolewa Alhamisi.Mashia wa Iran Sio Waislamu Kwa mujibu wa ISIS.
Huu Ugaido wamefanya mabwana zenu Marekani, Israel na Isis.Nyinyi na mungu wenu SHETANI ( Allah) hamuishi kupindisha maneno
View: https://youtu.be/yoQx-0XDEBE?si=lSGwlZlyj197a6zg
Hivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
Al Nusra treatment yao ipo tofauti, umeona mdau hapo juu alipost Video Netanyahu anaenda kuwaona Hospitali? Show something same as that, Netanyahu kaenda kumjulia Hali Hamas Hospitali.Assume ni kweli wanafanya hivyo, kama wanavuna ngozi kwa Hamas fighters, kwanini wasivune ngozi kwa Al Nusra Front?
Kwahiyo kutibu Al Nusra Front ni kushirikiana na magaidi wa Al Qaeda. Ila kutibu Hamas ni kuchuna ngozi na kuvuna organs nyingine 😂😂
Sio conspiracy theory ikiwa mpaka Hilary Clinton, mkuu wa Mossad na viongozi kibao wakubwa wanakiri.Sijui kwanini hii dini ya akina Ritz inaamini sana kwenye conspiracy theories ... It is so disgusting
Vikundi vya waasi vina Majina, Unaposema Al Qaeda ama Isis ni Makundi makubwa ambayo Yana Branches, mfano Waasi wa Al Nusra wakati huo kuanzia machafuko yalipoanza 2012 Hadi 2017 walikua ni Branch ya Al Qaeda.Mkuu nimesoma sijaona ISIS ila kule kuna vikundi vingi vya waasi
Vita vina mbinu nyingi muhimu ushindi TU.kuunda makundi ya kigaidi ni moja ya mbinuNdio njia pekee kwa United Shits Of Americant na israhell wanayoweza kupambana na iran
Sababu kutuma jeshi likaivamie kama walivyo fanya kwengineko kote hawathubutu
Acha hizo mkuu za kujitoa ufahamu, kwamba Israel anamuogopa sana Al Nusra kiasi kwamba ampe silaha ili asipigane nae? What kind of logic is that.Mkuu hakuna aliyesema US ameshirikiana na Alqaeda.
Ila kumbuka Alnusra ni adui mkubwa aliyekuwa akipigana pia na Iran huko Syria, huenda sababu ya Israel kuwapa silaha ni moja ya makubaliano yao ili wasiishambulie Israel badala yake waendelee kupigana na Iran na Assad.
Halafu geopolitics ina mengi mno, US anaweza asishirikiane na Alnusra ila anaweza kuacha kuwashambulia ili waendelee kupigana na Iran (ni raha kuona maadui zako wakimalizana).
American obsession with ‘al-Qaeda in Syria’ is making the conflict there worse
When it comes to the Syrian opposition, it’s practically impossible to separate ‘moderates’ from ‘extremists’.www.google.com
Watawapiga boss zao wale wapiHivi kwa nini ISIS haijawahi kupiga waisrael au Israel?
Inajulikana zamani ISIS ni mchezo wa America, Uingereza na Israel walitengeneza kama ni kikundi cha kulinda Israel we uliwahi kuona Israel akaipiga ISIS hata Amrica ana act tu anawapiga ni uwongo Mtupu.Wanaukumbi.
BREAKING:
⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran.
ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana..
View: https://x.com/megatron_ron/status/1742946718025486797?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Nani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?Saddam aliondolewa na shia!?..kawavalishe Pedi nguruwe mushi,wapo hedhi