Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Isis ni kundi la israel na hawajawahi wala hawatowahi kuigusa israel na ukiwa unaijua dini ya kiislamu hawakutaki kwenye kundi lao
Nadharia njama tu hizi, ingekuwa ni kundi la Israel, Marekani asingethubutu kulishambulia.
 
Acha hizo mkuu za kujitoa ufahamu, kwamba Israel anamuogopa sana Al Nusra kiasi kwamba ampe silaha ili asipigane nae? What kind of logic is that.
Yeah!...Silaha anaweza kupewa Alnusra ili zimsaidia kwenye kupigana na Iran/Assad, hilo linawezekana kabisa.

Mfano Mimi na wewe tuna Ugomvi miaka nenda miaka Rudi ili Mimi na wewe tusipigane unipe silaha?
Alnusra haikuwahi kusema ina ugomvi na Israel.


2. Al Nusra kundi la waasi ambalo halina Mahusiano yoyote na west ila Wana silaha za kisasa sio tu Wana silaha Bali wanajua kuzitumia ipasavyo kuliko jeshi kamili la Ukraine.
Al nusra haina uwezo mkubwa kuliko jeshi la Ukraine.

Halafu silaha zao nyingi walipewa na Qatar ambaye ndiye mfadhili wao mkuu.
 
Nani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?

Halafu chunga kauli zako wewe.
Hiyo ipo wazi serikali ya Sadam Ilikuwa Sunni wa Tikrit na Marekani ilishirikiana na Mashia kumuondoa na ndio maana baada tu ya kumuondoa ikawaweka madarakani kina nour Maliki ambao ni shia
 
Nani walioshirikiana na Marekani kumuondoa na kuunda serikali mpya? Nani waliwapa wamarekani taarifa zote kuhusu kinachoendelea Bhagdad? Unadhani ni Sünni?

Halafu chunga kauli zako wewe.
naam Ni haohao shia na ndio maana akawapa serikali baada ya kumuondoa Sadam
kina Ayad Allawi,Jalal Talaban na Nur Al Maliki
 
Silaha hawajapewa na Qatar Bali USA again soma link niliyoweka halafu niambie silaha zimetoka wapi, umewekewa mpaka document za kiwanda ziliponunuliwa zikasafirishwa Hadi ulaya Mashariki kabla ya kuingia Syria.

Na crime ni crime tu mkuu haijalishi Kuna Ugomvi ama hakuna Ugomvi as long as mtu ame comit jinai kwa Nchi inayoendeshwa kisheria hairuhusiwi kushirikiana nae,

Assume situation hio ingekua Nchi nyengine inashirikiana na Alqaeda Sasa hivi ingekua na vikwazo zaidi ya 1000.

Hypocrites.
 
Sasa unabishanaje hoja juu ya mambo usio yajua 😀
 
Kwenye qur an ipi wanaoelekezwa hivyo sura ya ngapi na aya ya ngapi hem tukaisome na sisi
 
Labda wewe ututajie mapigo mangapi
United Shits Of Americant kawaida yake sana
Hata iran aliionya iache kurutubisha nyuklia vipi iliacha
United Shits Of Americant anaangalia na mnyonge wake
 
Mbele ya ya isis sio mbele ya qur an 😀
 
Iran na iraq walipigana sababu iran alipinduliwa aliokua swahiba wa marekani na iraq akaja mtu ambae hakua swahiba wa iraq wala us wakati huo us na Iraq walikua mtu na shoga yake

Awaliomuondoa madarakani saddam ni marekani sababu wao ndio walomzushia zengwe kwamba ana WMD
 
Hii propaganda umeipata wapi acha kudanganya watu
Wakati mtume kaenda hijjatul wadaa baada ya pale alisema akiondoka viongozi watakao mfuata ni abuu bakar na omar
Uislam ulianza kugawika baada ya kuondoka Sayyidina othman hapa ndio pakaanza kutoka matabaka na yalitoka matabaka manne
Kwenye hayo manne moja ndio likawa ovu kabisa hawa makhawaarij wakatolewa kabisa kua sio waislam wengine....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…