Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

Ndio njia pekee kwa United Shits Of Americant na israhell wanayoweza kupambana na iran

Sababu kutuma jeshi likaivamie kama walivyo fanya kwengineko kote hawathubutu
Ndugu yangu yaani Marekani na Israel zipange mauaji kwa njia ya suicide mission kwenye anniversary ambayo inafanyika kwenye cemetery area( makabulini) ili iue watu wasio hata na visu mkononi!!!!!!!!!????? Katikati kabsa ya mgogoro unaotishia kusambaa middle East 🙄🙄🙄🙄. Kwani lazma mtu ufikilie ki sheikh Ponda Ponda wakati mwingine tumieni na akili zenu za kuzaliwa( common sense). Weka kando akili za kuwaza bikira 72
 
Hahaha mahaba niue. Nchi ambayo inaua mpaka vitoto visivyojua kusema mama au baba, Leo hii eti itibu kundi hatari zaidi Duniani la Al Qaeda na iwe sawa tu.

Pia mkuu Wapalestina wanaotibiwa Israel haimaanishi kwamba ni msaada ama huruma ila

1. Israel wanavuna Ngozi za binadamu
2. Israel wanakata Pipe za moyo na Kuvuna
3. Israel wanavuna organs nyengine kama Figo, maini etc.

Duniani Kuna Nchi kubwa kibao China, India na wengineo Wana Raia zaidi ya Bilioni, ila Kuna Ka Nchi kadogo watu hawafiki hata milioni 10 ila Wana storage kubwa ya Ngozi za binadamu na organs nyengine kuliko Nchi yoyote Duniani. Kifupi Hawa ni mashetani waliokubuhu Kila aina ya uovu unaoujua wewe wanafanya.

Huyu Dokta wa Sweden aliekua Israel alisema kama mbwai na iwe mbwai akatoa siri za Israel anavyo Harvest organs za Wapalestina.
Assume ni kweli wanafanya hivyo, kama wanavuna ngozi kwa Hamas fighters, kwanini wasivune ngozi kwa Al Nusra Front?

Kwahiyo kutibu Al Nusra Front ni kushirikiana na magaidi wa Al Qaeda. Ila kutibu Hamas ni kuchuna ngozi na kuvuna organs nyingine 😂😂
 
Waziri wa ulinzi wa wa wakati ule aliye kuwa ana itwa Lebaman akili wazi wazi kabisa kuwa Israel ana ushirika na Al nusra na kusema kuwa adui wa fulani sio razima awe adui yetu ,sasa nawashangaa sijui mnacho bisha ni kitu gani.
Hakuna ambapo official yeyote wa Israel alikiri Israel kuanzisha ISIS. Hivyo kama huo ndio ushahidi wenu basi claim zenu ni za uongo.
Clinton yeye mwenyewe kwenye mahojiano kuwa Marekani ndo muanzilishi wa ISS kwa lengo la kumtoa Asad ila likaja baadae likakiuka lengo la kuanzishwa kwake na ndio maana Marekani akaanza kupigana nalo ila nyinyi mnabisha.
Hakuna mahala Hillary Clinton alidai ISIS imeanzishwa na Marekani.

Umetunga uongo
 
Ndugu yangu yaani Marekani na Israel zipange mauaji kwa njia ya suicide mission kwenye anniversary ambayo inafanyika kwenye cemetery area( makabulini) ili iue watu wasio hata na visu mkononi!!!!!!!!!????? Katikati kabsa ya mgogoro unaotishia kusambaa middle East 🙄🙄🙄🙄. Kwani lazma mtu ufikilie ki sheikh Ponda Ponda wakati mwingine tumieni na akili zenu za kuzaliwa( common sense). Weka kando akili za kuwaza bikira 72

View: https://x.com/aryjeay/status/1743025325141786782?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Aliyewaletea hizi dini kawaweza kwelikweli, mpo mnakondaaa na vitu visivyowahusu kabisaaaa. Mnapata stress na mambo ya mabwana wa babu zenu. UJINGA mkubwa sana huu. Hata sur yako kama maiti hivi
 
Hakuna ambapo official yeyote wa Israel alikiri Israel kuanzisha ISIS. Hivyo kama huo ndio ushahidi wenu basi claim zenu ni za uongo.

Hakuna mahala Hillary Clinton alidai ISIS imeanzishwa na Marekani.

Umetunga uongo
It’s interesting how ISIS pops up after being dormant just to attack on Iran the moment that John Bolton and the neocons are ramping up calls for war against that country.

It’s almost as interesting as ISIS never attacking Israel 🇮🇱 in all these years.
 
Hiyo source ulitarajia nn?
n fact, the statement that ISIS published belatedly in accepting responsibility for the terrorist attack in Kerman was orchestrated by the Zionist regime's intelligence service. ISIS merely took charge of disseminating it through its official media channels."
 
Wanaukumbi.
BREAKING:

⚡ 🇮🇷ISIS sasa imedai Kuwajibika kwa Mlipuko wa Kujitoa mhanga jana kwenye Njia ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Qasem Soleimani nchini Iran.

ISIS na Israeli tena wana adui sawa na huko Syria. Ajabu sana..

View: https://x.com/megatron_ron/status/1742946718025486797?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Weka ushahidi wanashirikiana na hao wauaji. Kama huna wewe ni muongo tu na mzushi. Iran ina upinzani mkubwa ndanj ya nchi, wanaonyesha wapo na wanaweza kufanya jambo. Unajua kwa nini iran amejizuia kujiingiza katika mgogoro wa gaza, anahofia hayo makundi kutumika katika nchi yake
 
Pitia post zangu huko juu nimeweka ushahdi mpaka wa video na Israel wamekiri wanawapa silaha makudi hulo Syria acha uvivu.
Na wewe unaongeq uongo fikra zako weka ushahidi ya maneno yako usilete porojo JF.
 
Kwamba USA akubali kushirikiana na alielipua 9/11 sababu ya Syria? Hebu pause sekunde kadhaa fikiria, pentagon, vita Afghani vyote ni sababu ya Al Qaeda then fikiria scale ya ule Ugomvi then compare na Syria, kweli wasahau vile sababu ya Syria tu?
Mkuu hakuna aliyesema US ameshirikiana na Alqaeda.

Ila kumbuka Alnusra ni adui mkubwa aliyekuwa akipigana pia na Iran huko Syria, huenda sababu ya Israel kuwapa silaha ni moja ya makubaliano yao ili wasiishambulie Israel badala yake waendelee kupigana na Iran na Assad.

Halafu geopolitics ina mengi mno, US anaweza asishirikiane na Alnusra ila anaweza kuacha kuwashambulia ili waendelee kupigana na Iran (ni raha kuona maadui zako wakimalizana).

Ndio njia pekee kwa United Shits Of Americant na israhell wanayoweza kupambana na iran

Sababu kutuma jeshi likaivamie kama walivyo fanya kwengineko kote hawathubutu
Yaani wahangaike na mahujaji wnaokwenda kumuabudu Marehemu Qassim Soleiman!? Ili iweje!? Kwa umuhimu gani waliokuwa nao hao mahujaji!? Mashia wa Iran hawakubaliki kwa maSunni wa ISIS. Wapambane wenyewe .
 
Back
Top Bottom