Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

Hahaha kweli wewe kujiita Kiranga haukukosea
Jadili hoja, acha viroja.

Nimekuwekea hoja za kisomi hujaweza kuzijibu, unabakia kuninyanyapaa kimipasho tu.

Ad hominem logical fallacy.
 
Na Wayemeni wanaendelea kuwakamuwa huko bahari nyekundu.
Wanatuma drones za dollar 500 kibao ambazo zinatunguliwa na nakombora ya dollar miilion 3 kila moja.

Mpaka majenerali wa Kimarekani wamesema "hili ni jinamizi limetukaa".

Na bado.
 
Jadili hoja, acha viroja.

Nimekuwekea hoja za kisomi hujaweza kuzijibu, unabakia kuninyanyapaa kimipasho tu.

Ad hominem logical fallacy.
Sijaona hoja yoyoye uliyotoa

Kwamba hoja yako kuwa deni la Marekani ni drama?

Ud
Usilolijuwa ni usiku wa kiza, uchumi wa dunia kwa sasa hivi upo mikononi mwa Wayemeni.

China walianza kuziuza mwezi Febuari mwaka huu soon na mataifa mengine yatafuata .
China sasa hivi anawekeza zaidi kwenye gold anapunguza bonds za Marekani na hana mpango wa kuongeza
 
Tunaushuhudia mwanzo wa mwisho wa kujimwambafai wa Mmarekani.
 
Sijaona hoja yoyoye uliyotoa

Kwamba hoja yako kuwa deni la Marekani ni drama?

Yani hicho ndicho ulichopata baada ya kuandika yote hayo na kuweka article ya Paul Krugman?

Au hujui Kiingereza?
 
Yani hicho ndicho ulichopata baada ya kuandika yote hayo na kuweka article ya Paul Krugman?

Au hujui Kiingereza?
Hakuna chochote cha maana labda ukaongeze uelewa kuhusu Federal Debt labda ndio tutaweza kuja kukaa na kuongea.

Kwa sasa wewe ni mweupe sana kwenye hii mada. Umedandia treni kwa mbele
 
Hakuna chochote cha maana labda ukaongeze uelewa kuhusu Federal Debt labda ndio tutaweza kuja kukaa na kuongea.

Kwa sasa wewe ni mweupe sana kwenye hii mada. Umedandia treni kwa mbele
This logical fallacy is called ad hominem.

Unaacha hoja zilizowekwa mezani, unamshambulia mtoa hoja.

Kwa sababu huwezi kuchambua hoja.
 
This logical fallacy is called ad hominem.

Unaacha hoja zilizowekwa mezani, unamshambulia mtoa hoja.

Kwa sababu huwezi kuchambua hoja.
Hoja yako ni ya kijinga unasema kuwa US public debt ni political drama.

Kweli nipoteze muda kuchambua hoja kama hiyo mkuu?

Nauonea huruma muda wangu. Kama ni uchambuzi nimeshafanya na watu wanaojielewa scroll up utaona
 
Kuna financial crisis ambayo itaiathiri sana US inakuja, actually crisis hii ni globally na itatokea very soon, kibaya kutakuwa pia na severe pandemic, yaani corona cha mtoto.
 
Hoja yako ni ya kijinga unasema kuwa US public debt ni political drama.

Kweli nipoteze muda kuchambua hoja kama hiyo mkuu?

Nauonea huruma muda wangu. Kama ni uchambuzi nimeshafanya na watu wanaojielewa scroll up utaona
Sasa kama unauonea huruma muda wako mbona unajibizana nami bado?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua unachotaka ni nini?
 
Sasa kama unauonea huruma muda wako mbona unajibizana nami bado?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua unachotaka ni nini?
Hoja yako hii hapa ukisema Marekani wachapishe dollars za kutosha walipe deni niliposoma tu hapa nikapata picha juu ya uelewa wako

Unalitendea haki jina ulilojipa kiranga
 
Hoja yako hii hapa ukisema Marekani wachapishe dollars za kutosha walipe deni niliposoma tu hapa nikapata picha juu ya uelewa wako

View attachment 3068193

Unalitendea haki jina ulilojipa kiranga
Hapana, hujui kusoma na kufuatilia mada tu. Niliulizwa nikajibu kirefu kuhusu habari ya kuchapisha dola mpaka hatari za inflation.

Wewe hujui kusoma tu, nimekuwekea article ya Nobel laureate Paul Krugman, lakini hata kuisoma hujaisoma.

Nafikiri unaogopa Kiingereza.
 
Haiondoi ukweli kwamba deni linapaa,na pesa huchapishi tu kama karata za kuchezea last card na arba'a sittini
 
Kote iko hivyo,hata tz kuna deni la ndani na la nje, serikali hukopa benki na kwa akina bakhresa
 
Kuchapisha pesa ina gharama karibu
Kuchapisha pesa ina gharama karibu sawa na thamani ya pesa,ndiyo maana maharamia huchapa feki ili wapate faida
 
Haiondoi ukweli kwamba deni linapaa,na pesa huchapishi tu kama karata za kuchezea last card na arba'a sittini
Sijasema pesa unachapisha tu, as a matter of fact nimeeleza kuwa hata kama unaweza kuchapisha pesa, usipokuwa mak8ni kwenye kuchapisha, unaweza kutengeneza tatizo la inflation.

Nimeeleza mambo mengi complex ya kiuchumi, including the fact kwamba the US is too big to fail, deni lake kuwa owned na entities nyingi ambazo hazitataka uchumi wa Marekani uanguke, Marekani inavyo control uchumi wa dunia kuanzia interest rates mpaka rating agencies, dollar dominance kama means of payment katika international trade inavyosaidia, mpaka article ya Paul Krugman inayoelezea kuwa ni vigumu kuwa na debt crisis kama nchi inakopa na kulipa kwa hela yake yenyewe, na jinsi Mario Draghi alivyomaliza debt crisis ya Euro kwa maneno matatu tu aliposema "Whatever it takes".

But do people read?

Nooo.
 
Kuchapisha pesa ina gharama karibu

Kuchapisha pesa ina gharama karibu sawa na thamani ya pesa,ndiyo maana maharamia huchapa feki ili wapate faida
Hapa umeandika jambo linalojipinga.

Ingekuwa kuchapisha pesa kuna gharama karibu sawa na thamani ya pesa, maharamia wangepataje faida?

Uzuri wa Marekani mifumo yote iko wazi.

Gharama za kuchapisha fedha za dola za Marekani zimewekwa wazi na Fwderal Reserve (Benki Kuu ya Marekani).

Noti yenye gharama kubwa kabisa kuchapisha ni dola 100, ambayo gharama za kuichapisha ni senti 8.6.

Haifikii hata senti 10 za Kimarekani.

Thats 0.086% of the face value.

Then kwa nini maharamia hawachapishi originals ili wapigwe faida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…