Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Wameshindwa kumsaidia Ukraine huko Marekani kabakia na ubabe wa media tu Iran Wanaume hawapigi majumba wakitaka kuteketeza Tela Aviv yote wangefanya. Wamepiga Military base na Target za kijeshi wana makombora yanapenya mbele ya huo mfumo.
Iran ni level ingine huwa hatafuti reason za kijinga kama hao mashoga wawili US na Israel. Iran angeweza kupiga majumba hayo ya Tela Aviv akasema Israel kaweka silaha zake mle. We tazama Mrusi, Iran na Hezbullah. Hamasi target zao ni military target tu. Hamasi na Hezbullah ukiona wamepiga majumba basi huwa ni zile intercepted missiles za mashoga ndio sababu au wanapiga kuwambia na sisi tunaweza ku target civilian lakini mara moja moja sio hao US na Israel vita vyao lazima wapige civilian area wanaona vita ni kuhesabu umeuwa raia wangapi na majumba mangapi.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama israel atakubali kupigana vita kamili na iran(an all out war). Iran ameprove kuwa anaweza kuishambulia israel from tehran this means iran ni powerful na israel analijua hilo. Je raia wa israel watakuwa tayari kupoteza uhuru wao?Amani yao?Utulivu wao? kuishi kwenye bunkers? Bila umeme?Intanenti? Jokofu maridhawa la kupooza viburudisho mbalimbali? Wafia dini wanadhani miundo mbinu na majengo ya israel hayataharibiwa kiuhalisia utatokea uharibifu mkubwa sana ndani ya israel maisha hayatakuwa kama mwanzo hata kidogo. Vita ni gharama,vita ni pesa. Je marekani atakuwa tayari kumwaga mabilioni ya dola israel na ukraine kusaidia vita ktk hali hii ya mdororo wa uchumi?Wakati kampuni ya boeing inataka kufa kifo cha mende?
 
Siraha za US zime prove kuwa dhaifu Ukraine
Kinachomsaidia Urusi ni wingi wa silaha na idadi ya wanajeshi. Baada ya zile S500 advanced radar systems zake zikipigwa tena na drones, basi hakuna guarantee kwa hizi air defense systems.
 
Wafia dini wanadhani raia wa israel wanapenda vita hapana wanachukia sana vita na hawampendi hata kidogo benjamin netanyahau na walitaka hata kumuondoa na netanyahau anatumia hichi kinachoendelea(vita inayoendelea dhidi ya hamas na hizbullah) kama dhamana ya yeye kuendelea kubakia madarakani kwasababu huwezi kumuondoa bwana benja wakati nchi ipo vitani. Just imagine palestina ipo ndani ya israel wanatenganishwa na barabara tu so mpalestina muda wowote anaweza mzuru muisrael hii inawafanya waisrael waishi kwa hofu kubwa sembuse vita kamili? Nani hapendi kuishi kwa amani na utulivu? Nani hapendi kutafuna nyapu? Hii vita wanaitaka zaidi viongozi kuliko raia
 
🤣🤣🤣 Haya mambo walianza wenyewe now wamewaamsha wajinga waliokuwa wamelala sasa wanalazwa wao
 
Miafrika ni kama imelaaniwa aisee!! Yani jitu Zima pengine Lina Familia linakuja hapa kuandika Mungu ibariki Israel hali ya kuwa nchi yake ipo ktk kiza kinene cha mauaji na wasiojulikana wametamalaki.Israel wamekusaidia nini??
 
We jamaa ni muongo na una mahaba yaliyopitiliza yani Israel akatae msaada kwamba sio utamaduni wake,, huyo Netanyahu kutwa kucha kushinda white house kulialia asaidiwe,, juzi tu ufaransa kapiga mkwara kusitisha uingizaji wa silaha Netanyahu alikuwa analia au hujaona? Na hata lilipo hilo taifa uchwara ni kwa msaada baada ya kupachikwa na marekani au hujui? Hebu tuambie hayo maoni hao waisrael wametoa lini ya kukataa kusaidiwa kivita?
 
Na wakati wao Wana tengeneza missile hizo za dkk 5 wenzao watakuwa laboratories wakitengeneza za kufika Kwa dkk 2.

Dunia imechangamka Sana 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…