Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Marekani yapeleka mfumo wa THAAD Israel kuwalinda dhidi ya Iran

Wameshindwa kumsaidia Ukraine huko Marekani kabakia na ubabe wa media tu Iran Wanaume hawapigi majumba wakitaka kuteketeza Tela Aviv yote wangefanya. Wamepiga Military base na Target za kijeshi wana makombora yanapenya mbele ya huo mfumo.
Iran ni level ingine huwa hatafuti reason za kijinga kama hao mashoga wawili US na Israel. Iran angeweza kupiga majumba hayo ya Tela Aviv akasema Israel kaweka silaha zake mle. We tazama Mrusi, Iran na Hezbullah. Hamasi target zao ni military target tu. Hamasi na Hezbullah ukiona wamepiga majumba basi huwa ni zile intercepted missiles za mashoga ndio sababu au wanapiga kuwambia na sisi tunaweza ku target civilian lakini mara moja moja sio hao US na Israel vita vyao lazima wapige civilian area wanaona vita ni kuhesabu umeuwa raia wangapi na majumba mangapi.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama israel atakubali kupigana vita kamili na iran(an all out war). Iran ameprove kuwa anaweza kuishambulia israel from tehran this means iran ni powerful na israel analijua hilo. Je raia wa israel watakuwa tayari kupoteza uhuru wao?Amani yao?Utulivu wao? kuishi kwenye bunkers? Bila umeme?Intanenti? Jokofu maridhawa la kupooza viburudisho mbalimbali? Wafia dini wanadhani miundo mbinu na majengo ya israel hayataharibiwa kiuhalisia utatokea uharibifu mkubwa sana ndani ya israel maisha hayatakuwa kama mwanzo hata kidogo. Vita ni gharama,vita ni pesa. Je marekani atakuwa tayari kumwaga mabilioni ya dola israel na ukraine kusaidia vita ktk hali hii ya mdororo wa uchumi?Wakati kampuni ya boeing inataka kufa kifo cha mende?
 
Siraha za US zime prove kuwa dhaifu Ukraine
Kinachomsaidia Urusi ni wingi wa silaha na idadi ya wanajeshi. Baada ya zile S500 advanced radar systems zake zikipigwa tena na drones, basi hakuna guarantee kwa hizi air defense systems.
 
Wafia dini wanadhani raia wa israel wanapenda vita hapana wanachukia sana vita na hawampendi hata kidogo benjamin netanyahau na walitaka hata kumuondoa na netanyahau anatumia hichi kinachoendelea(vita inayoendelea dhidi ya hamas na hizbullah) kama dhamana ya yeye kuendelea kubakia madarakani kwasababu huwezi kumuondoa bwana benja wakati nchi ipo vitani. Just imagine palestina ipo ndani ya israel wanatenganishwa na barabara tu so mpalestina muda wowote anaweza mzuru muisrael hii inawafanya waisrael waishi kwa hofu kubwa sembuse vita kamili? Nani hapendi kuishi kwa amani na utulivu? Nani hapendi kutafuna nyapu? Hii vita wanaitaka zaidi viongozi kuliko raia
 
Izo safari za wanasiasa w irani kwenda Israel ndio mwiba.waIran.wanajidai.wanapeleka msaada w kimatibabu lkn ktk.iyo mizigo kuchanganywa. Vifaa muimu vyakijesh wanavoitaji hezbollah So tutasikia waziri wa ulinzi.w Iran kaenda Lebanon au naibu wake watakuwa tu.wanapishanisha vyeo lkn lengo kupeleka mizigo y kijesh mawasiliano mapya y kijesh niwazi Iran anaitumia Lebanon kupigana.na Israel uku yeye akiwa kama sio muhusika,
Haki Israel kuzuiya ndege kutoka Iran lkn ndio tunaona talatibu Israel anazoeya maisha mapya ya unyonge kwa Iran lau.Ingekuwa Iran ananguvu kama.izi kaonesha km 2000+ kwa 8.tehra to tel aviv na kuwa anaweza piga ppte.ndani y Israel,, ingekuwa taifa.alina izo sifa.afu.ndio wazili wale atimbe Lebanon na iwe wazi.iyo.inch inaunga mkono hezbollah saai washapitanae asubui asubui ili kuzuiya wengine wasiende,,
🤣🤣🤣 Haya mambo walianza wenyewe now wamewaamsha wajinga waliokuwa wamelala sasa wanalazwa wao
 
Wadau hamjamboni nyote?

Mambo bado mazito huku maandalizi mazito yanazidi kufanywa. Jeshi la Marekani limeamua kufunga mitambo ya kisasa kabisa ya ulinzi dhidi ya makombora ya masafa marefu huko Israel

Yadaiwa ni sehemu tu ya maandalizi ya Israel kuishambulia Iran. Mitambo hiyo aina ya Terminal High Altitude Area Defense (THAAD) itasimamiwa na kuendesha na wanajeshi wa Marekani wenyewe.

Mungu ibariki Israel

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
---
US troops to reportedly operate THAAD anti-ballistic missile system in Israel

The US will deploy the THAAD anti-ballistic missile system in Israel, according to reports by Channel 12 news and Army Radio that describe the move as part of preparations for the expected Israeli response to Iran’s recent missile attack.

Channel 12 news says the advanced missile defense system will be operated by American troops on Israeli soil.
Miafrika ni kama imelaaniwa aisee!! Yani jitu Zima pengine Lina Familia linakuja hapa kuandika Mungu ibariki Israel hali ya kuwa nchi yake ipo ktk kiza kinene cha mauaji na wasiojulikana wametamalaki.Israel wamekusaidia nini??
 
Umeelewa sasa kuwa bila msaada wa kijeshi wa US na nchi za Magharibi Israel haiwezi kupigana pekee yake?
Hii ni kufuatia Russia kupeleka sophiscated defensive missiles Iran!
Hata hivyo kwa maoni ya Waisrael wengi bado wanapinga kuwepo kwa majeshi ya US kwenye ardhi yake! Siyo utamaduni wa Israel.
Hapo ni pazito kijana!
We jamaa ni muongo na una mahaba yaliyopitiliza yani Israel akatae msaada kwamba sio utamaduni wake,, huyo Netanyahu kutwa kucha kushinda white house kulialia asaidiwe,, juzi tu ufaransa kapiga mkwara kusitisha uingizaji wa silaha Netanyahu alikuwa analia au hujaona? Na hata lilipo hilo taifa uchwara ni kwa msaada baada ya kupachikwa na marekani au hujui? Hebu tuambie hayo maoni hao waisrael wametoa lini ya kukataa kusaidiwa kivita?
 
Wenye kusubili Israel ijibu pengine wanadhani Israel inatumia akili kama zao kuwaza mambo makuu. IRAN kama ingepeleka missile kama zile za mwanzo masaa8 njian Israel saii ingeshapeleka moto tehran lkn km2000+ 8 iyo.kitu. marekani ulaya.Israel awana kwasasa uwezo w kudelete sasa mtu anawaza Israel atajibu Leo kesho mwez huu kapime akili ata.ingekuwa ww.ndio.umshauri kijesh kweli utaruusu majibu. Tusaau majibu marekani na.ulaya.walitegemea Iran awana ivo vitu vilivotua Israel, walitegemea.ni vitu vyamasaa 6 oh 4 so wayavizie angani wayatungue kwanjia nyingi ata tu f-16 singesaidia lkn km2000+ dakika 8 wakosome kwanza baada mwaka 1 oh2 ndio waje. Sasa Israel atatumia mipesa yake kununua wajuzi izo mambo km2000 kwa8 kwapesa yoyote adi nao uko marekani wetest iyo kitu. Wao watataka iwe chini zaid kupiga mkwara iwe 5 km2000 hatari sana lkn kwasasa atanunua wataalam.sio kujibu.ataweka pesa nyingi kwenye iyo program kimyakimya. Uku tukiimbiwa tunajibu Leo kesho na tutaiduaza dunia uku wao wakojikonii wakisaka majibu saiii
Na wakati wao Wana tengeneza missile hizo za dkk 5 wenzao watakuwa laboratories wakitengeneza za kufika Kwa dkk 2.

Dunia imechangamka Sana 😁
 
Back
Top Bottom