Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

low mind ya namna hii ndiyo mwenyekiti wa jumuiya nyeti ya chama?
 
Ok ndugu yangu hata huko kwa wenzetu siasa ina mipaka na utaalam una nafasi sio kama huku banana Republic
Siasa haina mipaka....kilichopo ni kubaini "yapi" ni ya siasa na yapi ya kitaalamu....
 
Yeye Mbowe ndiye aliyefichiwa mengi.....
Exactly. Kilichobaki ni maito ya ole Sabaya tu la sivyo angenyongwa au at least miaka 7 for attempted murder, amshukuru Afande Kingai na Afande Jumanne kuwakamata wakiwa njiani kwenda kuua. Mama akaona huruma, la sivyo Mahakama tayari ilikuwa imemkuta ana kesi ya kujibu. Hana shukurani, Mary Chatanda is quite right.
 
🤣🤣🤣Kumbe ni mshirikina🤔
 
🤣🤣 Kwahiyo saivi mahakama ni mama?
 
"...anazungumza, anamtukata, anasema ameuza nchi, kwani sisi tumeuzwa hapa tulipokaa?, Kuna mtu anayesema kuwa nimeshawanunua ninyi ni watu wangu?, Wakija msiwasikilize.., anasema anaenda kujiandaa mikutano 70..."
 
Huyo Marry Chatanda ndio alie changanyikiwa.Kwa hiyo ilikuwa ni haki mbowe kukaa gerezani?Pia hii mijadala ya bandari ni ya kumpush mama afanye marekebisho ikibidi asitishe huo mkataba ndio maaana watu wanapigia kelele.Mwisho wa siku asipoliangalia atakuwa amelichafua jina lake milele katika historia ya hii nchi
 
ukishabikia ccm lazima una matatizo ya ubongo hawa watu ni majizi yanawaza matumbo yao tu.
 
Hayo ndiyo waliyoyataka kina mbowe.

Kuligeuza suala hilo kuwa ni la kisiasa,unaona majibu hayo sasa??
 
Yaani Samiah amweke Mbowe gerezani kwa kesi ya kipumbavu na kumtoa halafu uje na porojo za kutaka Mbowe amshukuru msaliti wa uhai wa Mbowe na familia yake.Hivi inaingia akilini kweli?
 
Chatanda ni mwongo; Mbowe hakuwekwa ndani wakati wa Magufuli bali aliwekwa na Samia huyo huyo na ndiye akamuandoa.
 
Kwani alimtoa gerezani kisiasa? Wengi tuliona alikaa gerezani kwa kuonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…