Mzimu wa Kolelo
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 2,790
- 8,330
Hizi kuzipata huko mpk zieditiweHizi habari mnazitoa wapi za Lebanon na Jordan maana sizioni aljazera, BBC wala cnn
Aangamizwe mbwa huyoHapo ndo Israel ana mtihani, maana Houthis nao wataanzisha muda wowote.
Pia Gaza apanaweza waka tena.
Bado kutokea Syria, Iraq
Hii ngoma ngumu sana, Israel peke yake hawezi
naam mkuu, ila sometimes hapo ndo pa. Ku benefit.Mambo yanazidi kuwa mabaya mkuu
Mkuu Iran sio waaarabu.Israel atasaidiwa na wengi,iran bado sijaona wakumsaidia mana nchi za kiarabu zina unafiki mkubwa
Unafikiri Iran ni gaza, Iran anazo long range warning radar na anga lake Lina ulinzi mkubwa sana, anazo mifumo ya makombora ya ulinzi wa anga ambapo ukitoka s 300 ya mrusi zilizobakia katengeneza mwenyewe ndio maana mwaka 2019.Mimi niko mubashara hapa Netanyahu anaandaa F35 Stealth zinaenda Natanz kuharibu Silaha za Atomiki za Ayatolah
Urudi kama akisaidia Iran hawezi kufanya directly,hata kama Marekani akiingia directIran atasaidiwa na Urusi tu
Lebanese hezbollah na Houthi wote wametuma shambulio kuelekea IsraelHezbolla ana nguvu maana anarusha mortals zakutosha ndo maana Israel anamshambilia muda huu
Hawezi, naona soon Marekani na uingereza wanaingia kusaidiaHapo ndo Israel ana mtihani, maana Houthis nao wataanzisha muda wowote.
Pia Gaza apanaweza waka tena.
Bado kutokea Syria, Iraq
Hii ngoma ngumu sana, Israel peke yake hawezi
AtanyookaBreaking News:Ayatolah kapelekwa kwenye Handaki kufichwa.
Sio rahisi hivyo,Ayatolah atatolewa na Wa Iran wenyewe through CoupYaani haya maisha, ukiangalia Netanyahu nae waisrael wamemkalia kooni aondoke
Tusiwe wapiga ramli kama yule waziri wa habari wa Iraq enzi zile [emoji1] unamkumbuka
Russia anahangaika mpk leo kwa UkraineNaona Russia naye kapata upenyo kaanza mshambulia Ukraine Kharkiv