Mashine hii hapa, Iran nehi nehi, Marekani ina silaha za hatari sana ambazo dunia haijui

Wakimalizana na Iran anayefuata ni China au Urusi wa mwisho North Korea
Kwa kauli ya bwana mkubwa ya kumtaka asitishe vita, kuna uwezekana baada ya Iran akafuata.
Hatujui kilichoongelewa huko G7, na tarehe 24-25 NATO wanakutana, mbaya zaidi China na Urusi si wanachama, ni kama kikundi kilichotengwa, itabidi watafute unafuu huku Afrika.​
 
Wakina Covax kimsboy Ritz FaizaFoxy hawawezi kukuelewa
 
Kwa kifupi jibu ni:

Marekani hawezi kupeleka hizo takataka zake kwa nchi kama Urusi au China zenye anti-stealth radars na anti-stealth equipments

Kabla hata haijafika inatunguliwa hukohuko ilipo
​
Marekani anajua pa kuchezea ili ajizolee ujiko. Hiko kibakuli kikisogelea anga la Urusi tu inabaki story😂
 
Wakina Covax kimsboy Ritz FaizaFoxy hawawezi kukuelewa
Chifu mkuu huwezi kumchukia shia halafu ukapenda apinduliwe na Zionist huo sio uislamu ni ukafir pia.

1.Labda angetueleza sie ambao ni waislamu ambao tunasali msikiti wowote bila kujali ni shia, Sunni au Ahmadiya, Quran inazungumza vipi juu ya shia na Suni, Kuna mahala katika Quran inazungumza kwamba watakaofuata mafundisho ya Qurain na Sunna za Mtume waitwe Suni ?.aachane na hadithi aweke Aya katika Quran.

2.Je ndani ya hizo nguzo Tano za uislamu shia ni nguzo ipi haiwafati?.

3.Je shia ni waislamu au sio waislamu na kama sio waislamu wanatumia kitabu gani katika mafundisho yao?.

4.Kinachowaudhi wanaojiita Suni juu ya shia nikuwa, Shia wana elimu kubwa ya kidunia kuliko hao wanaojiita Suni na hao Suni huko ME ndio vibaraka wa USA na Israel.
 

Nyie makafir hamjui kitu. Mtaenda motoni. Sisi tunawaombea ndugu zetu na watafanikiwa inshallah. Nyie mtabaki na ukafiri wenu tu
 
Nyie makafir hamjui kitu. Mtaenda motoni. Sisi tunawaombea ndugu zetu na watafanikiwa inshallah. Nyie mtabaki na ukafiri wenu tu
Nyie mtaenda ahera mkuu! Hizi ni akili za kijinga sana.
 
Mambo ya vita ni Noma sana,tusishangilie,vinaathali mpaka huku kwetu!
 
Inategemeana na mikataba ya ulinzi , jiulize kwanini NATO aingilii moja kwa moja vita vya Ukraine?
 
Kwa nini viongozi wa Shia wa Iran ni radical sana kuliko wa Sunni??
 
Hao Marekani mashoga wasioijua njia ya hakhi hawana lolote. Iran Mnyaazi Mungu atawalipia kisasi. Death to America, death to Israel.
Allah alitajwa sana October 7 hata walipokuwa wanabaka wakimaliza wanasema Allahu Akbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…