Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Inawezekana mwenzetu hujui maana ya bunge na nguvu yake.
ninajua sana, hasa kama bunge linalojifanya linawakilisha wananchi linaruhusu mambo ambayo hata mwananchi asiyesoma kabisa anayakataa. bunge linalopelekwa kwanza dubai kuonjeshwa mpunga ili likirudi lipitishe jambo ambalo wananchi waliowapeleka bungeni hawakubaliani nalo.
 
Pole Abdul
 
HIZI MAMBO ZA DINI KWENYE MASWALA YA SERIKALI WAPI NA WAPI.

WANANCHI TUNA WAWAKILISHI WETU
WANAO TUWAKILISHA KWENYE MAAMUZI YA NCHI YETU
SASA HII SIJUI KANISA LINAWAWAKILISHA WANANCHI WAPI HAO
MBONA MAMBO YA HOVYO HAYA
 
kazeni ,shingo akianza kupewa TUNDU LISU nafasi ya kusalimia watu makanisani ,msiaze kusema

Kanisa ,linaingiza siasa
 
Akina Henock wa Saint George wamewafunga magoli akina Abubakari wa KMKM.

Matokeo ni 2/1

Bingwa atapatikana mwishoni, tuwe watulivu maana lolote linaweza kutokea huko mbeleni.
 
Mfalme Zumaridi kawaharibu kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…