Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Tanko dogo mmepaniki kama watoto.

Hutaki maaskofu watoe maoni yao?

Au ulitaka wakitoa maoni yao, yawe ya kukufurahisha wewe na chawa wenzako?

Wacha utoto, hii Tanganyika ina watu wanaojielewa.
Tanganyika ni marehemu , iliuliwa na Baba yenu kipenzi chenu Nyerere
 
Shivji hajawahi kutoa mawazo ya maana yaliyolisaidia taifa hili. Alipendekeza mfumo wa mabaraza ya ardhi ambayo ndo yanatusumbua nchini saivi kwa kuongeza migogoro ya ardhi! Ana lipi la maana?
Sioni unachochangia hapa Mkuu kaa chini nyoosha miguu soma mawazo ya wengine kwanza usilazimishe kutetea usichikijua kwani unajiabisha.

Huna mchango wa maana kuliko walioutoa Prof. Shivji na Prof. Anna Tibaijuka kwenye hili. Mpaka muda huu sijui unabishabisha nini?
 
Zaidi ya miaka 140 sasa, utawala wa kanisa umetuletea maendeleo yepi?
 
Kwa sababu hivyo ndivyo unavyoamini kutokana na upeo wako mdogo wa kufikiri basi siwezi kukuaminisha vinginevyo
 
Nanyie mnataka tukilubali?Nyie kinanani nchi hii?Uwezi kukubali upambavu kama huu wa mkataba wa bandari ,ikiwa kichwani ni timamu .
 
Nanyie mnataka tukilubali?Nyie kinanani nchi hii?Uwezi kukubali upambavu kama huu wa mkataba wa bandari ,ikiwa kichwani ni timamu .
Kwa hiyo huamini kwenye maamuzi ya mahakama kama mhimili wa dola na chombo chenye mamlaka ya mwisho kwenye masuala ya utoaji haki kwa mujibu wa Katiba?

Basi kaishi kwenye nchi zisizo na mifumo ya utawala bora!
 
Kwa sababu hivyo ndivyo unavyoamini kutokana na upeo wako mdogo wa kufikiri basi siwezi kukuaminisha vinginevyo
Kumbe unataka kutuaminisha badala ya kutuelewesha?. Utakuwa na tatizo kubwa sana kiuelewa. Unataka tuamini nini? Ili nini?...daaah...tuna safari ndefu sana.
 
Kwa hiyo huamini kwenye maamuzi ya mahakama kama mhimili wa dola na chombo chenye mamlaka ya mwisho kwenye masuala ya utoaji haki kwa mujibu wa Katiba?

Basi kaishi kwenye nchi zisizo na mifumo ya utawala bora!
Mahakama walisema hawana uwezo wa kuufuta huo mkataba,na mapungufu waliyaona kama vile :-utowaji wa maoni Ulikuwa ni muda mchache -yaan siku 1 na Watu 7 tuu ndo walitoa maoni.
 
Unapinga au kuuliza maswali kwa kutokuelewa au kwasababu wewe ni mfia Uislamu..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…