Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Mahakama walisema hawana uwezo wa kuufuta huo mkataba,na mapungufu waliyaona kama vile :-utowaji wa maoni Ulikuwa ni muda mchache -yaan siku 1 na Watu 7 tuu ndo walitoa maoni.
Wapi walisema kwenye hukumu yao kuwa kuna mapungufu waliyaona?
 
Kumbe unataka kutuaminisha badala ya kutuelewesha?. Utakuwa na tatizo kubwa sana kiuelewa. Unataka tuamini nini? Ili nini?...daaah...tuna safari ndefu sana.
Huyu jamaa ni bonge la jinga ,na Watu kama hawa ndo mtaji.mkubwa wa CCM.Waarabu wanaona mbali future za watoto zao na wajukuu zao.Kaachini fikiria vyema utajua kuwa wamekosea...
 
Hawa nao ni binadamu kama sisi, sio wakamilifu kama sisi,walichokisema ni utashi wao Wala si wa Mungu,serikali endeleeni na michakato kama kawaida maana nyie ndo wabeba maono ya watanzania.Waacheni Hawa waendelee kuchanganya mafuta na maji Kuna Mahali wataji lock,Kama ni uzalendo wa kuipenda nchi upande wa dini, basi waislam ndo wa kwanza kusapoti harakati za mwalimu kudai uhuru,Hawa wengine walikua bize kusambaza umisionari
 
Wewe umekula rushwa ya DPw, unatetea mkono wako unaoenda kinywani kwa support ya Serikali au CCM, maaskofu hawana ushirika na uchafu huo unaoshiriki wewe Kwa hiyo usiwachoshe Kwa maswali yako ya kijinga. Sisi raia huru tumewaelewa TEC. Kwendraaaaaaa.
 
Kichaa huweza kutukana kila mtu. Siamini kama wewe si mmojawao.
 
Wewe umekula rushwa ya DPw, unatetea mkono wako unaoenda kinywani kwa support ya Serikali au CCM, maaskofu hawana ushirika na uchafu huo unaoshiriki wewe Kwa hiyo usiwachoshe Kwa maswali yako ya kijinga. Sisi raia huru tumewaelewa TEC. Kwendraaaaaaa.
Nimekula shilingi ngapi? Nilipewa lini na wapi?
 
Tunaenda na circustancial evidence, hatutaki kuumiza vichwa kujua kuwa rushwa mmekula.
Unajua maana ya circumstantial evidence? hata kunifahamu unanifahamu? hao DP World wenyewe nawasoma tu humu unasemaje nimehongwa? Mkiitwa wapuuzi mnabisha
 
Karibu tunaelewana
Wameongea kama WaTanzania kwa mujibu wa Katiba
Msilie sana
Tuliwaambia tulipofika ni pazuri sana
Kanisa lina sehemu yao katika Taifa so wametimiza wajibu
 
Hao maaskofu malofa tu hawawezi kuipangia serikali cha kufanya.

Uko sahihi kuwa hawawezi kuipangia serikali cha kufanya! Ninaamini utasema hivo hivo kwa kikundi chochote, hata wananchi wenyewe!! Na msiwatumie kuzungumzia uasherati, ushoga, kuomba mvua, sala wakati wa shughuli nk. Hili ni moja tu kati ya makundi mengi ya watu. Haki hii ya kutoa maoni ni yao kikatiba. Na haiwezi kuondolewa eti kwa kuwa tu watawala wana maoni au maamuzi tofauti. Ni binadamu wachache sana, mmoja wao wewe, wanaoamini kuwa binadamu tunawaza au tunapaswa kuwaza sawa!!! Tofauti zetu ndio nguvu yetu! Najiuliza wati wote tungekuwa kama wewe ingekuwaje!!

Ambacbo wengi hawajui ni kuwa mchakato wa mkataba uko sahihi. Vipengele vya mkataba una madhaifu. Wasiojua tofauti hizo ndio wanaona mkatataba uendelee. Wanaojua tofauti wanasema turekebishe mkataba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…