Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Kwani kama A amesema mkataba mzuri na B amesema mkataba sio mzuri wapi imesemwa kuwa B ndo yuko sahihi na A hayuko sahihi?
 
Ndo hapo.

Yaaani kuna watu wanajiona kama wao ndo wanaongoza nchi.

Sasa naelewa kwa nini China walipiga marufuku upuuzi huu wa dini
Kwahiyo Mwigulu kutuambia tuhame nchi na kuhamia Burundi uliona ni sahihi kwa sababu anaongoza nchi?
 
Usizunguke zunguke mbuyu. Kuwa waz. Wote tunajua unachokihofia
 
Dharau kwa mujibu wa nani? Inategemea na mapokeo yako tu!!
Ile ni kauli ni ya dharau ipo hivyo, tunaweza kutofautiana jinsi tulivyo ipokea ila mwisho wa siku mwenyewe Mwigulu hajawahi kuja kutoa maelezo kuhusu hiyo kauli yake hivyo inabaki kuwa ile kauli ni ya dharau.
 
Maswali yako ni ya kijinga sana ,yanafaa kujibiwa kijinga
 
Tatizo lenu mwaokoteza vifungu mnavyotaka nyinyi
 
Wewe umekula rushwa ya DPw, unatetea mkono wako unaoenda kinywani kwa support ya Serikali au CCM, maaskofu hawana ushirika na uchafu huo unaoshiriki wewe Kwa hiyo usiwachoshe Kwa maswali yako ya kijinga. Sisi raia huru tumewaelewa TEC. Kwendraaaaaaa.
Sema nyie wakatoliki mumeuelewa.
 
Mpumbavu unataka kuelimisha werevu. Huwezi kufanikiwa.

Hiyo ambayo ilipingwa na ikapitishwa Leo matokeo yake Ni yapi.

Nb: Kaitishe kikao Cha ukoo wako uwaeleze ujinga wako. Na km Kuna Mali za ukoo mziuze kwa utaratib wa mkataba wa bandari.
 
Huwa wanaunga mkono kwenye maslahi yao tu na wanapinga pale maslahi yao yanapoingia mashakani dhidi ya maslahi pana ya umo.Wana ubinafsi sana na kutaka kuiendesha serikali kama wanavyotaka.
 
Huko kote DP world inakofanya kazi mpaka Chile na Ukraine walitaka kurudisha waarabu?.Mbona vichwa vyenu vigumu kufahamu na mnajidai mmesoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…