Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari


mshitue na maulidi wa kitenge, mkawachambe maaskofu,
 
Kwa hiyo wewe na chama chenu ndo hamna akili ya kuendesha bandari?
 
Majibu:

1. Siyo kweli wananchi walitaka tuendelee na chama kimoja bali ni wana CCM na hasa UVCCM ndiyo walitaka chama kimoja kwa kujikomba kwao kwa Nyerere lakini akawatolea nje.

2. Muhimili wa mahakama haujatoa uamuzi wake kwa madai hauna mamlaka ya kuingilia maamuzi ya bunge lakini ulibainisha wazi kuwa mkataba una kasoro nyingi. Kwa kuzingatia kasoro hizo maaskofu wamesema hawaungi mkono mkataba huu.

3. BAKWATA hawajasema cho chote hivyo usiwawekee maneno kinywani.
 
Karudisheni pesa ya hongo ya Mwarabu![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Una uhakika na hayo unayosema? Tupe uthibitisho
 
Weka sehemu ambayo maamuzi ya mahakama yalisema mkataba una kasoro nyingi.
 
Weye huna weledi kabisa kama huoni ubovu wa vipengele vya mkataba basi either huna akili huo mkataba wa bandari unakubalika na mwendawazimu tu
 
Tujipe tu pole ...Ndiyo imeisha hiyo...Mkikomaza shingo, zitavunjika maana hawa huwa wanamaanisha na wanaweza badili historia ukapoteza hata hiki kidogo kilichobaki...So saaad, nawachukia kwakua ni wa dini lakini kwangu hili ni blessings in disguise kwakua this time interest Yao inalinda sovereignty ya nchi yangu
 
Kwa hiyo wewe na chama chenu ndo hamna akili ya kuendesha bandari?
Wapi imesemwa uwekezaji maana yake ndo hiyo? Hao waliofanya uwekezaji huko Southampton maana yake uingereza hawawezi kuendesha Bandari?

Akili ya wapi iyo? Wao wanavyopelekwa Vatican. Au kwenye mataifa mbalimbali kufanya kazi ya Bwana maana yake watu wa mataifa hayo hawawezi kufanya kazi ya Bwana?
 
Tanko dogo mmepaniki kama watoto.

Hutaki maaskofu watoe maoni yao?

Au ulitaka wakitoa maoni yao, yawe ya kukufurahisha wewe na chawa wenzako?

Wacha utoto, hii Tanganyika ina watu wanaojielewa.
 
Hao kina nani wewe? Mbona mnapenda kuwapa watu sifa ambazo hawana? China no 2 kwa uchumi Duniani hawa wanalolote China?
 
Tanko dogo mmepaniki kama watoto.

Hutaki maaskofu watoe maoni yao?

Au ulitaka wakitoa maoni yao, yawe ya kukufurahisha wewe na chawa wenzako?

Wacha utoto, hii Tanganyika ina watu wanaojielewa.
Nani kapaniki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…