Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Tunataka twende sawa. Sijahongwa na wala sitahongwa.
Kama hujahongwa na huna maslahi mbona upo upande wa kutetea waarabu katika kila mada inayoanzishwa! Wewe ni mtanzania mwenzetu ma unauchungu na hii nchi?
 
Ukubali ukatae, viongozi wa dini katika taifa letu na mataifa mengi tu wanaushawishi mkubwa sana. Kwenye hili sakata la bandari, serekali yetu ilianza na kuutetea huu mkataba mbele ya viongozi wa dini.
Hilo ndo kosa Serikali inafanya. Mambo ya uongozi wa nchi na dini hayaendani. Na hili ni Duniani kote. Ndo mana mataifa ya wenzetu yanapiga hatua haraka sana.

Upuuzi wa namna hiyo huwezi kuukuta sehemu kama China na still nchi inafanyq vizuri ndo inaenda kuwa World super power economically very soon
 
Kama hujahongwa na huna maslahi mbona upo upande wa kutetea waarabu katika kila mada inayoanzishwa! Wewe ni mtanzania mwenzetu ma unauchungu na hii nchi?
Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu. Mimi sitetei mwarabu natetea uwekezaji unaoleta mapinduzi ya kiuchumi kwenye Bandari yetu na uchumi wetu
 
.hujielewi
Wewe mdini mkubwa ndio hujielewi.
Ngoja Bakwata watoe tamko la kuunga mkono uwekezaji kwenye Bandari halafu tuone Serikali itamsikiliza nani.

Wakati wa Magufuli Kanisa lilikuwa wapi?

Si kulikuwa na mambo mengi ya hivyo ,kwakuwa kanisa lilinufaika na utawala wa magufuli halikutoa tamko hata moja.

Kwanini kanisa huwa linafufuka mtawala akiwa Mwislaam.

Pale Bandarini kuna Maslahi gani ya kanisa?
 
Ni wakristo pekee ndio wanapinga huu mkataba.

Watuambie kanisa linapata nini pale Bandarini ambacho DP atawazuia wasipate.
Kama wewe unakubaliana na vipengele vyote vya mkataba kama vilivyo, wewe ni wa kuonewa huruma.
 
Hayo maneno peleka kanisani.
Sisi tunaisikiliza Serikali.

Kwamba kila mkataba uwe unapelekwa TEC

Nasgauri Bakwata watoe tamko ili.kukomesha huu ujinga wa wakatoliki.

Tusikilize serikali iliyojaa wezi wa rasilimali? Wataalam wa sheria washasema kwamba mkataba huo ni wa hovyo na mbovu kuliko hata aliosaini chief Mangungo wa msovero!! Kataa Madalali ,Kataa wahuni ,bandari zetu ni urithi wetu.
 
Wameiba rasilimali zipi? Lini?
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Mods! Naomba sana msiunganishe huu uzi!!
Tuwaache Waarabu waje watujengee misikiti.
 
Wewe ni mjinga kama sio mpumbavu. Mimi sitetei mwarabu natetea uwekezaji unaoleta mapinduzi ya kiuchumi kwenye Bandari yetu na uchumi wetu
Siyo kila uwekezaji una tija. Mifano ktk nchi yetu ni mingi na ndiyo sababu watu wanasema mapungufu ya mkataba yarekebishwe, hawajapinga uwekezaji.
 
Utasemaje uwekezaji hauna tija wakati hujauona?
 
Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.

Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??

Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Kumbe unajua kwamba kuna makosa serikali ilifanya halafu unajambajamba hapa kwa kuhoji maaskofu ni nani nchi hii?. Kwa taarifa yako hao ndio binadamu wenye akili hapa ulimwenguni sio Tanzania tu.
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaungana mkono Serikali I reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Mods! Naomba sana msiunganishe huu uzi!!
Maswali ya kitoto sana haya
 
Back
Top Bottom