Kiazi kweli weweKuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.
Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??
Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Kabisa.Wanabwabwaja tu hao wabaguzi, mkataba umepitishwa na bunge na juzi mahakama kuu imeubariki. Hii ndiyo mihimili ya dola hiyo takataka ni kundi gani, km kazi ya kueneza injili inewashinda waanzishe chama cha siasa waite TEC.
kivipi?Kiazi kweli wewe
Vipengele vipi?Mazezeta hayaishi.......
Huu mkataba ni mbovu ubadilishwe baadhi ya vipengele
Wala usihofu ndugu. Uzuri Serikali ni dubwana kubwa sana. Linazijua vizuri sana hizi cartels zinazofanya uharamia kupitia mgongo wa dini.Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
Hawa wana lao jambo. Wanataka kujionesha wana nguvu kuliko Serikali sasa ngoja Serikali wawaoneshe kuwa wao hawaendeshwi na matamko ya taasisi za kidiniKabisa.
Wakichanganyikiwa huwa hawaheshimu mihimili ya dola wala nini.Mwaka huu tunao mpaka waiteme na MOU
Ni sawa tu acha tushikane kidogo ili heshima iwepoKuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.
Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??
Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Hii cartel inabidi ifundishwe kuwa hii nchi sio ya kidiniNi sawa tu acha tushikane kidogo ili heshima iwepo
Uovu ulioje huu....amani ya kweli inapatikana katika uislam tu
Unachanganya Mambo bro! Wala usijizime data, TZ hakuna mihimili mitatu, bunge,serikali, mahakama,1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!
Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaunga mkono Serikali i reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?
2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.
Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?
3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?
Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!
Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Basi udini ndiyo unakusumbuaTunataka twende sawa. Sijahongwa na wala sitahongwa.
Mkataba wa bandari ni mkataba wa kurudisha utawala wa sultan sio wa kuleta maendeleo
Alichofanya samia ni kusaidia waarabu kuja kutawala TANGANYIKA
Inaonekana samia na waarabu wanamipango mingi iliyojificha ambayo sio mizuri juu ya TANGANYIKA yetu ambayo sisi hatuijui