Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.

Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??

Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Kiazi kweli wewe
 
Mazezeta hayaishi.......
Huu mkataba ni mbovu ubadilishwe baadhi ya vipengele
 
Wanabwabwaja tu hao wabaguzi, mkataba umepitishwa na bunge na juzi mahakama kuu imeubariki. Hii ndiyo mihimili ya dola hiyo takataka ni kundi gani, km kazi ya kueneza injili inewashinda waanzishe chama cha siasa waite TEC.
Kabisa.
Wakichanganyikiwa huwa hawaheshimu mihimili ya dola wala nini.Mwaka huu tunao mpaka waiteme na MOU
 
Hii ishu ya TEC sio sahihi... huu sasa ndo uhaini. Huu uchochezi unaofanywa na TEC lengo lake ni ovu. Nitaishangaa serikali kushindwa kuwadhibiti hawa wahuni. Hii itasababisha watu waliokuwa wakisema nchi yetu ina mfumo kristo kuthibitisha kauli yao. Kwa tulipofikia serikali inabidi iwadhibiti TEC ili kulinda heshima na hadhi yake.
 
Wala usihofu ndugu. Uzuri Serikali ni dubwana kubwa sana. Linazijua vizuri sana hizi cartels zinazofanya uharamia kupitia mgongo wa dini.

Uwekezaji Bandari utaendelea na mafanikio makubwa sana yataonekana.
 
Kabisa.
Wakichanganyikiwa huwa hawaheshimu mihimili ya dola wala nini.Mwaka huu tunao mpaka waiteme na MOU
Hawa wana lao jambo. Wanataka kujionesha wana nguvu kuliko Serikali sasa ngoja Serikali wawaoneshe kuwa wao hawaendeshwi na matamko ya taasisi za kidini
 
Kuna makosa Serikali ilifanya na haya ndo yanafanya hawa wapuuzi wajione kama sehemu ya uongozi wa hii nchi.

Ni mambo ya ajabu kabisa. Eti wanatoa tamko kutaka serikali iachane na mkataba wa Bandari? Wao kina nani nchi hii? Kesho BAKWATA wakitoa tamko kutaka Serikali iendelee na mkataba??

Wanataka kuifanya hii nchi iingie kwenye matatizo hawa wajinga.
Ni sawa tu acha tushikane kidogo ili heshima iwepo
 
Ni nani mhandisi wa hii karakana ya uzushi na uongo?
 
WARAKA WA TEC WAGEUKA SEHEMU YA IBADA YA JUMAPILI

KABLA dunia haijavaa vazi la ustaarabu mataifa yalikuwa chini ya amri ya Kanisa. Wafalme na viongozi wote wa dola walitakiwa kwanza kufuata amri za Kanisa ndipo wafanye maamuzi mengine ya kidola.
Huenda baadhi ya viongozi wa juu hasa Wafalme na Malkia walichukizwa na hali hii, lakini hawakuwa na namna kwa kuwa tayari Makanisa yalishaweka mizizi yake kwa wananchi na hata kuingilia mifumo ya maamuzi katika dola.
Nguvu kubwa ilitumika kukomesha hili; la Kanisa kuingilia maamuzi ya dola. Maandiko ya kisomi yaliandikwa, matamko katika vyuo vikuu yalitolewa na wanasiasa walipishana majukwaani kukemea hili la Kanisa kuingilia maamuzi ya dola lakini ilishindikana kwa sababu mizizi yake ilifika mbali.
Mwanafalsafa maarufu aliyezaliwa mwaka 1632 nchini Uingereza, John Locke alitoa matamshi na maandiko mengi kuchagiza utengano au kugawanywa madaraka baina ya Kanisa na Dola.
Kwenye andiko lake alilolipa jina la mkataba wa jamii ‘Social Contract’ John Locke alifafanua kuwa kupitia usimamizi wa Kanisa, serikali ilikosa uhalali wa kuongoza wananchi wake hasa wasio na dini kwa kuwa iliondoa haki ya raia katika kufanya maamuzi bila kuingiliwa.
Ni kama serikali ilipoteza uhalali, kwa mujibu wa John Locke. Akaenda mbali zaidi na kugusia suala la uvumilivu katika dini. Kwa sababu jamii zina mchanganyiko wa imani. Kanisa pekee linapokuwa na nguvu kunaondoa uhalali wa wananchi kuwa na manufaa katika mkataba wa jamii.
Tanzania kwa sasa inataka kuingia kwenye mkwamo wa kiimani, viongozi wa dini ni kama wanaingilia maamuzi ya serikali. Kutokana na matamko yanayotolewa bila kuangalia athari zake kwa jamii ambayo ina mchanganyiko wa Imani.
Wiki hii kumekuwa na tamko la Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), likionyesha kuwa haliridhishwi na mkataba wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World. Tamko hilo limetiwa saini na Maaskofu 37 nchi nzima.
Kama hiyo haitoshi walaka huo umesambazwa kupitia viongozi wa jumuia na viongozi wa baraza la walei nchi nzima sambamba na maelekezo kua kesho Jumapili ya Agosti 20, 2023 tamko Hilo lililotolewa na TEC kuhusu mkataba kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Falme za Kiarabu ‘UAE’ juu ya Bandari, lisomwe katika Misa zote.
Hii si habari njema sana katika taifa ambalo linajinasibu halina dini bali wananchi wake wanazo dini. Ikiwa TEC wataendelea hivi maana yake madhehebu mengine katika Imani ya Ukristo nao wakifanya hivyo, upande wa Imani ya Uislamu kupitia madhehebu yake yote nao wakifanya hivyo, Mabudha, Wahindu, Mabaniani, Wabahai na wengine wasioamini chochote bila kuwasahau Marastafari.
Tanzania haitakuwa salama tena. Kelele zitasikika kila kona. Hakutakuwa na wa kumsikiliza mwenzake, zaidi ya yote hata wananchi watapoteza Imani na serikali yao kwa kuwa hawatajua wamsikilize nani katika maamuzi.
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipofika Dar es Salaam mnamo mapema miaka ya 1950, alikuta harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika kutoka mikononi mwa Waingereza, zinafanyika kwa mchanganyiko wa makabila, rangi, dini na watu wa jinsia na umri tofauti.
Hili lilimsaidia hata aliposhika madaraka tangu akiwa Waziri Kiongozi ‘Chief Minister’ na baadaye kuwa Rais wa kwanza wa Tanganyika, alichofanya ni kuitangazia dunia kuwa Serikali ya Tanganyika haiamini katika dini yoyote. Bali wananchi wake wanazo dini na wanayo haki kufanya ibada zao kwa namna wanavyoweza bila kuingiliwa.
Kilichofanywa na TEC ni kuingilia haki za wananchi, kama alivyosema mwanafalsafa John Locke kwenye ‘Social Contract.’ Kwa sababu viongozi wa baraza hilo wanaingilia uhuru wa wananchi ambao wapo kwenye Imani ya Kanisa Katoliki na wasio kwenye kanisa hilo.
Ikiwa ushauri wa Jimbo la Katoliki Moshi litafanyiwa kazi katika ibada za Misa kwenye makanisa yote, maana yake hata wale waumini wanaungana na serikali yao katika mkataba wa DP World watakuwa katika mtanziko mzito wa kutojua wafuate viongozi wao wa dini au viongozi wa serikali.
Kwa sababu mbali ya mambo mengine, tamko lao linaeleza kuwa: “Ikumbukwe kwamba, kutokana na mjadala mpana wa suala hili la mwekezaji mmoja kwenye bandari za Tanzania, wananchi wenye mawazo tofauti hawajui wamwendee nani ili misimamo yao iweze kusikilizwa na kuzingatiwa, kwani wabunge ambao ni wawakilishji wao wamewatekeleza kwa kufungamana na mwekezaji mmoja kutokana na /bunge kuridhia mkataba huu mnamo Juni 10, 2023.”

Kanisa Katoliki wanayo haja kuwaeleza Watanzania waliamua kutoa tamko hili kwa jumuiya zake za Kanisa au kwa wananchi wote wa Tanzania?

Wanapotaka kuuaminisha umma kuwa TEC inazungumzia hisia za ‘Wananchi’ maana yake walipata wasaa wa kuhojiana nao. Je ni kweli walipata wasaa huo wa kuwahoji wananchi wa Imani zote na kupata kauli yao?

Ipo mifano mingi ya mataifa yaliyoharibikiwa kwa kuruhusu Imani za dini kuingilia shughuli za kiutawala. Ni kweli viongozi wa dini wanayo nafasi yao kwenye dola, lakini inapofikia hatua ya kupigania manufaa ya taifa na wananchi, viongozi wa dini lazima watafakari upya kipi cha kuzungumza na kipi cha kuacha kuzungumza na wakati upi ni sahihi kunyamaza inapobidi.

Mwisho
 
Uovu ulioje huu....amani ya kweli inapatikana katika uislam tu
 
Screenshot_2023-08-20-12-05-38-1.jpg
 
1. Wanadai Serikali iachane na Mkataba wa Bandari kwa sababu wananchi wamegawanyika kuhusu mkataba huo!

Swali langu kwao, Ni jambo lipi nchi hii limewai kukubaliwa na asilimia 100 ya wananchi wote? Kwenye Mfumo wa vyama vingi, Mbona asilimia kubwa ya Wananchi walikataa mfumo huo ila Serikali wakauunga mkono! Je kwa nini hawakutoa tamko kipindi icho kutaka nchi iendelee kuwa ya Chama kimoja? Kwa tamko lao walilosema maamuzi ya wananchi yaheshimiwe basi wanaunga mkono Serikali i reverse maamuzi yake ya kuruhusu mfumo wa vyama vingi na turudi kwenye mfumo wa Chama kimoja?

2. Kwenye tamko lao wanadai Mihimili ya dola iheshimiwe. Swali langu kwao! Juzi Mahakama Kuu wametoa maamuzi ya kutupilia mbali maombi ya watu walioshtaki mkataba wa Bandari.

Sasa kwa nini wanataka mihimili ya dola iheshimiwe na wao hawataki kuheshimu maamuzi ya Mahakama? Kama Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 hasa ibara ya 107A inasema Mahakama ndio Mhimili wa mwisho katika kutoa haki sasa kwa nini hawaheshimu maamuzi ya Mahakama alafu wanatoa tamko kusema Mihimili ya dola iheshimiwe?

3. Wao wanavyotoa tamko kutaka Serikali iachane na mkataba wa bandari kesho BAKWATA wakitoa tamko Serikali iendelee na mkataba wa Bandari wanataka Serikali imsikilize nani? Kesho kutwa mabudha wakitoa tamko pia wanataka Serikali imsikilize nani kati yao?

Kwa hali hii sasa nimejua kwa nini mapadre wa kanisa katoliki walishtakiwa kwa kuhamasisha mauaji ya kimbari Rwanda!

Pia soma
- News Alert: - Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Unachanganya Mambo bro! Wala usijizime data, TZ hakuna mihimili mitatu, bunge,serikali, mahakama,
Kuna muhimili mmoja tu, Ikulu ya samia, bunge ni raba stamp, hawawezi kwenda kinyume na matakwa ya raisi(kwa sasa ni samia),
Mahakama, ni, ndio bure kabisa, alisema kada mkongwe wa CCM, maamuzi, ya mahakama ni maelekezo kutoka ikulu,
Pili mauaji ya ya Rwanda yaliyofanywa na mapadre,sio kwa upadre wao,ni ukabila tu, Padre mhutu,ameona Watusi wamekuja kujificha kanisani, chuki ya kikabila ikazidi ukristo, akawatosa,
Mtu aliua mkewe kisa ni mhutu au mtusi,chuki, ni chuki ya kikabila zaidi sio dini!
 
Kwani Tanzania ni nchi ya watu wa dini moja ya katoliki?
Sauti hiyo ya mungu inayotajwa na Maaskofu ni mungu yupi?
Maana waislamu wao Allah wao ni mmoja , hana mshirika , wala hana mtoto.
Wakatoliki mungu wao ana mtoto wake , na pia ni ushirikiano wa Mungu baba, mungu mwana ( Yesu) , na mungu roho mtakatifu.
Wapagani wao wana miungu yao kama Mizimu, miti, mawe, wanyama mbalimbali.
Ni dhahiri kila mdau ana mungu wake tofauti kabisa, sasa hii sauti ya mungu ni mungu yupi
 
Mkataba wa bandari ni mkataba wa kurudisha utawala wa sultan sio wa kuleta maendeleo

Alichofanya samia ni kusaidia waarabu kuja kutawala TANGANYIKA

Inaonekana samia na waarabu wanamipango mingi iliyojificha ambayo sio mizuri juu ya TANGANYIKA yetu ambayo sisi hatuijui

Hayo maoni yenu ndio maana roho zinawauma mkisikia waarabu kumbe chuki ni waarabu na mnaamini ukoloni
 
Back
Top Bottom