Maswali yangu kwa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) kuhusu Tamko la Mkataba wa Bandari

Kimsingi swala la Bandari ni Agemda ya Kanisa wanahubiri hayo makanisani hadi kwenye Jumuia,wanaambizana kwamba Wakioewa DP world waislaam watapewa kipaombele.

Unajua ukizoe kuka nyama ya mtu,always utakuwa unamuwazia hivyo kila mtu.

Kwa miaka Mingi sana kuna ubaguzi wa dini kwenye nchi yetu Wakristo hasa wakatoliki wanajifanya hii nchi ni mali yao.

Wanaamini kila kinachoridhiwa na Kanisa lazima kiridhiwe na Nchi,na kikikataliwa na kanisa lazima kikataliwe na nchi.

Kama ukivyosema ,wakati wa utawala wa Magufuli,pamoja na maovu mengi na mikataba mingi hawakuwahi kuihoji hawakuwahi kukemea ule unyama uliofanyika kwa sababu aliefanya ni mkatoliki mwenzao.

Kaingia Rais Samia,anasaini Mkataba wa DP world kama Magufuli alivyosaini Yapi Markez,lakini kila anaepinga ni Mkristo kama una rafiki mkristo mlieshibana atakwambia jinsi hii ageda inavyohubiriwa makanisani.
 
Ndo hapo.

Yaaani kuna watu wanajiona kama wao ndo wanaongoza nchi.

Sasa naelewa kwa nini China walipiga marufuku upuuzi huu wa dini
Jione ulivyopata moto, tulia wewe mwanasheria wa uchochoroni mwenye vimelea vya kidikteta.
 
Sovereignty ya nchi yako inaathirika kivipi na uwekezaji wa kwenye Bandari?

Huo ujinga mnautoa wapi?
 
Wewe unaenda jwa Wakristi wenzako ambao huu mkataba wanautazama kwa jicho la udini
 
Kama huu ndo ukweli basi huu ni ujinga uliotukuka
 
Tanko dogo mmepaniki kama watoto.

Hutaki maaskofu watoe maoni yao?

Au ulitaka wakitoa maoni yao, yawe ya kukufurahisha wewe na chawa wenzako?

Wacha utoto, hii Tanganyika ina watu wanaojielewa.
Bunge limesharidhia mna uhuru wa kutoa maoni hii ni serikali ya kidemokrasia bana ila mchakato unaendelea.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Hatuwezi kucheleweshwa na wapuuzi wachache kwa ubinafsi tu.
 
Baraza la Mawaziri limejadili na kuupitisha.
Bunge limejadili na kupitisha.

Chama cha mapimduzi kimejadili na kupitisha.

Wewe unaepinga umepewa mamlaka na nini kama sio kudanganywa kwenye Jumuia za Jumamosi kwamba Wakristo wapinge mkataba
 
Toka lini mwekezaji akakuletea maendeleo????Kwa Hili lidude lenu pelekeni hukohuko Dubai
 
Wewe unazuga tu baada ya kupata aibu kubwa ikilinganishwa na matamanio yako kwamba Dr Slaa na wenzake wanyongwe. We kuwadi mkuu wa Waarabu, Bora uugulie maumivu na aibu kinyume na ulichotarajia.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

..Bakwata, Shura ya Maimamu, KKKT, TEC, Uamsho, na wengine, wana HAKI ya kutumia uhuru wao kuunga mkono au kupinga mkataba na Dp World.

..Serikali inaweza kukubali au kukataa maoni au ushauri wa mabaraza hayo.

..Tamko lilitololewa na Maaskofu wa TEC, pamoja na kwamba linaonekana kuwa na mashiko na limebeba maoni ya waliowengi, sio amri kwa serikali.
 
Mama Samia wekeza bandari achana na kelele za makapuku
 
Ni wakristo pekee ndio wanapinga huu mkataba.

Watuambie kanisa linapata nini pale Bandarini ambacho DP atawazuia wasipate.
 
Ndo hapo.

Yaaani kuna watu wanajiona kama wao ndo wanaongoza nchi.

Sasa naelewa kwa nini China walipiga marufuku upuuzi huu wa dini
Ukubali ukatae, viongozi wa dini katika taifa letu na mataifa mengi tu wanaushawishi mkubwa sana. Kwenye hili sakata la bandari, serekali yetu ilianza na kuutetea huu mkataba mbele ya viongozi wa dini.
 
Bandari zetu ,urithi wetu ,kataa madalali ,kataa wahuni.
Hayo maneno peleka kanisani.
Sisi tunaisikiliza Serikali.

Kwamba kila mkataba uwe unapelekwa TEC

Nasgauri Bakwata watoe tamko ili.kukomesha huu ujinga wa wakatoliki.
 
Mkataba wa kuuza bandari ni wa kipugi, serikali iachane nao basi! mengine ni mataptap tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…