waeleze tu wadau wa Jf kwamba wewe ni tajiri wa mihemko, makasiriko na matusi jukwaani,Ok pinga huo upotoshaji kwa hoja lkn ukija kwa matusi kwangu yamejaa kabati.
Mfano nimesema Samia jana alikuwa Harare wewe sema mbona jana alikuwa Arusha kwenye mkutano wa IPU. Simple.
Kwahiyo unataka watu wanyamaze.Hapana! Bali wanaomsemasema Rais Samia. Wanafikiri wakisema vibaya ndio maisha yao yanakuwa na afadhali.
JF ni watu wazima, kwani wewe uliwaeleza kuwa ni kuwadi wa wauwaji wa 29/10 si walijua wenyewe kutoka kwenye nyuzi zako.waeleze tu wadau wa Jf kwamba wewe ni tajiri wa mihemko, makasiriko na matusi jukwaani,
na sio kuwapotosha wadau eti una hoja mahususi mezani, hiyo ni uongo mtupu, na huo ni upotoshaji wa kiwango kibaya sana gentleman 🐒
Hapana. Waongee tena waongee sana ila wasitukane.Kwahiyo unataka watu wanyamaze.
Kusema Samia amebadilika ni matusi.Hapana. Waongee tena waongee sana ila wasitukane.
Gentleman,JF ni watu wazima, kwani wewe uliwaeleza kuwa ni kuwadi wa wauwaji wa 29/10 si walijua wenyewe kutoka kwenye nyuzi zako.
Kusema mtu ana stress ni matusi?Kusema Samia amebadilika ni matusi.
Tuseme Samia kalipa kisasi kwa kuwauwa watanganyika maana watanganyika walizoea kuua wazanzibar!!!
Sawa, jana Samia alienda Harare Zimbabwe kuhani msiba wa rafiki yake Chivayo, ndege yetu hiyo Gulfstream G700 inamsubiri.Gentleman,
bila mihemko bali kwa kurelax na kwa faida ya wadau wa Jf,
unaweza kueleza kwa kina kirefu zaidi hiyo porojo gentleman nadhani itapendeza zaidi 🐒
Siyo matusi hata nikisema siku hizi Samia ana stress tofauti na zamani siyo matusi.Kusema mtu ana stress ni matusi?
hili litafanyika,Samia anakwenda kutuachia katiba ya Samia!Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
Anaweza kwenda popote Africa na dunia nzima bila kujali mihemko, makasiriko au porojo zako, za chama chako na wafuata mkumbo wenzako wote gentleman and you can do nothing about that light truth 🐒Sawa, jana Samia alienda Harare Zimbabwe kuhani msiba wa rafiki yake Chivayo, ndege yetu hiyo inamsubiri.
View attachment 3685902
I just wanted you and your friends house negro to admit the truth and nothing else, have a good night.Anaweza kwenda popote Africa na dunia nzima bila kujali mihemko, makasiriko au porojo zako, za chama chako na wafuata mkumbo wenzako wote gentleman and you can do nothing about that truth 🐒
OK.I just wanted you and your friends house negro to admit the truth and nothing else, have a good night.
No one brought you here you may opt to vanish and no one cares.OK.
but,
your useless, emotionally charged, and inconsequential ranting on the platform might only unsettle your fellow bandwagon jumpers and nothing more.
Mimi ni mmoja wa watu tunaolaani kwa nguvu zote Yale Mauaji ya Oct 29.This is a cycle...msije kujisifia sana...it also comes back
In fact, that is the absolute truth,No one brought you here you may opt to vanish and no one cares.
Tulia basi. Ukipost humu lazima tukufuatilie na boss wako ajue hivyoKwani unalazimishwa kufungua thread zangu na nikifuatiliwa na boss wangu wewe kinakuwasha nini. Pumbavu.
Mimi ninamuombea Rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan Mungu aendelee kumlinda ,apate nguvu, afya njema ili aendelee kuwatumikia watanzania.Kila mtu anamuombea mabaya bibi yule!