Michael Dudicoff
JF-Expert Member
- Aug 20, 2024
- 233
- 296
Kiamsheni tu!Na mwezi huu wa 10 tarehe 29 tunakiamusha tena sisi Gen Z hadi tufanikishe jambo letu la ukombozi wa Tanganyika na kumwadabisha huyu mmama.
Huna lolote.In fact, that is the absolute truth,
and that is why there is no need for empty rhetoric and useless emotional outbursts on the platform, because it is simply nonsense.
DUA LA KUKU HALIMSHIKI MWEWE.MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ... SAMIA NA WAHALIFU WENZIE WAMEBAKISHA MIEZI 18 TU KUTOKA SASA ,WATAANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA INAWEZA KUWAPELEKEA KUMWAGA DAMU ZAIDI..ILA MWISHO WAO NI MBAYA NA MBOVU.
ok gentleman mwenye loloteHuna lolote.
Ile ya October mwaka jana ilikuwa nguvu ya nani?Awamu hii hatushindwi.Nguvu ya umma lazima ishinde maana ni nguvu ya Mungu.Shetani lazima tumshinde.
Acha kabisa kutishia watanzania wanaodai haki. Wewe unaonekana ni jitu zima lakini akili zako ni kama za mtoto mdogo.Hasara ni kwa familia yako, by the way huna cha kupoteza huna wanaokutegemea nenda kajitowe sadaka tu.
Mimi nawapongeza sana polisi na JWTZ kwa kile walichokifanya October mwaka jana!Kwani mauaji ya Rwanda yanavyo itwa mauaji ka kibabila waliokufa ni wakabila moja ‽ tumia akili wacha kutumia kijambio kufikili..wewe unadhani hiyo oct29 kwa sababu gani Risasi za moto tu ndiyo zilitumika hakuna risasi za plastiki zilizo tumika tofauti na kanuni za kutuliza gasia ... kanuni za kutuliza gasia zinaeleza kuwa njia salama zinatakiwa kutumika kwanza kabla ya kutumia njia hatari pale tu njia salama zinapo zidiwa nguvu ..ila oct29 ni RISASI ZA MOTO TU NDIYO ZILITUMIKA.
Kwahiyo watu wanaochinja ng'ombe,mbuzi,kondoo na KUKU wanapata dhambi eti kwasababu imeandikwa "USIUE?!"Ukimuua hata mjusi roho na nafsi inakusuta kwamba uenda ya kua huyu mjusi ana watoto wanaomsubiria awapelekee chakula sasa nimemuua wale watoto wake wataishije? sio kwamba nimemkosea Mungu ngoja nikatubu maana imeandikwa usiue na haijaandikwa usiue nini ila usiue maana haukuwahi kuumba wewe
Siku ukijua kuwa samia ana waogopa hao hao jwtz na polisi ndiyo utskuwa umeanza kupata akili...maana ni swala la myda tuMimi nawapongeza sana polisi na JWTZ kwa kile walichokifanya October mwaka jana!
Wasingechukua hatua mapema nchi ingeharibika kutokana na genge la magaidi lilokuwa limeingia mitaani likipora mali katika maduka na kuchoma moto mali za raia wasiokuwa na hatia.
Kiukweli vyombo vya ulinzi na usalama vilichukua hatua sahihi na hata hivyo ukiangalia vurugu na uharibifu wa mali uliofanyika utakubali kwamba watu waliouawa ni wachache sana. Yaani 518 tu?
Inatakiwa vurugu zikitokea vifo viongezeke angalau wafe watu 1000+.
hili litafanyika,Samia anakwenda kutuachia katiba ya Samia!
P
GWaji boy alisema wakampuuzaSamia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ...SAMIA KABAKISHA MIEZI 18 TU KABLA YA YEYE NA WAHALIFU WENZIE KUANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA MISUKOSUKO INAYE KWENDA KUWAKUTA NA KWA SABABU HIYO UENDA WAKALAZIMIKA KUJARIBU KUZIDI KUMWAGA DAMU ZAIDI ILI KUJINUSURU
Tumia akili ni mauaji ya kidini ..ndiyo maana kuna sheikh mmoja alikufa waislamu mashekh walilaani sana kifo cha huyo shekh kuwa laani waandamanaji nq siyo wauaji..sio mauaji ya kidini.
..ni mauaji yaliyotekelezwa na wachache wenye tamaa za madaraka ya nchi.
..wauwaji hawakuwa wakiangalia dini ya mtu.
Mbona akiwa anahutubia kwao Kizimkazi huwa anaonekana kuwa na tabasamu lenye bashasha sana?Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Hata sijui kwa nini umeona ni vizuri kumpamba kama ulivyofanya hapa!Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.