PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
..Watanganyika na Wazanzibari tunapaswa kuungana dhidi ya Ccm.
Sasa hivi naweza kukwambia kuwa tatizo letu haliishii kwa u-Tanganyika wetu na u-zanzibari wao; na wala haliishii kwa u-CCM wao na u-chama wa wengine wote.
 
Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!

Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Sijakuelewa
 
Upo sahihi lkn unakumbuka kipindi hadi tukaanza kusema mama anaupiga mwingi, labda kama alikuwa ameficha makucha.
 
Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!

Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Ila hakuna mtanganyika aliekua happy kuona yale mliyokuwa mkipitia tulicmama kidete kuwapgania ila huo mfuma wa kiccm selikalini ndio iliokuwa uanatumika kuwaumiza naukienelea huu mfumo unaweza kuwaludia tena kwa maumivu chamcngi ni kucmama pa1 kuakikisha tunautoa..
 
Na bado kuna mapigo mengine...!
Damu si maji umwage mwage tu utakavyo!
 

Attachments

  • Screenshot_20260624-083114.png
    1 MB · Views: 11
  • Screenshot_20260508-005419.png
    1.8 MB · Views: 7
  • Screenshot_20260508-005359.png
    1.8 MB · Views: 13
Huwezi kuua halafu ukatamalaki

Asomae na aelewe...
...Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya wale aliowaua, mbwa watairamba na damu yake, naam, damu yake...
 
Umenikumbusha Tlaatlaah na Chadema, ni sawa na chura na maji.
 
Mi naomba uyu uliemjibu asije akawa ni Islamic maana wazidi kutuzalilisha waislam..
Tunaonekana wote ni makatili ila kwa maelezo uyomuelekeza naona akili zitakuwa zimemludia sasa..
 
Obama mwenyewe amewahi kukiri kwamba kuna maagizo alikuwa anapewa alipokuwa rais na watu asiowajua ila wanaijua taasisi ya urais.
 
Ila ukwe mnaujuwa yakuwa hamtakiwi na wananchi hata kidogo na ndiomana mmeamuwa kutumia bunduki...
 
Samia hajawahi kuwa mcheshi maana hana akili ya kuwa mcheshi ili uwe mcheshi lazima uwe na akili.
 
Ungejua hata hajali na anaweza kufanya tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…