Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Kweli kutoa ni MoyoAma hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .
Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !
View attachment 1572209View attachment 1572210
Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
Huyu hatujamsaidia , kwanza hakuwa na uhaba wa vifaa hivyo na wala hakuomba msaada popote , huyu kapewa zawadi na makamanda wenzie wa Mbarali , kama ungeangalia video iliyoambatanishwa usingemfananisha na watoto wa kanda ya ziwa ambako shule hufungwa na watoto hulazimishwa kujaza uwanjaKweli kutoa ni Moyo
Kumtangaza ulie msaidia ni masimango
Watoto kwenda kwenye kampeni za CCM wanaitwa watoto wakienda chadema wanaitwa mashujaa
Tutunze ndimi zetu tufikiri ukurasa ujayo
Mkuu unajua kujiteteaHuyu hatujamsaidia , kwanza hakuwa na uhaba wa vifaa hivyo na walavhakuomba msaada popote , huyu kapewa na makamanda wenzie wa Mbarali , kama ungeangalia video iliyoambatanishwa usingemfananisha na watoto wa kanda ya ziwa ambako shule hufungwa na watoto hulazimishwa kujaza uwanja
Mkuu umeitoa hii picha vizuri kweli kweli ngoja niisevu kabisa!Chadema mnasema maendeleo sio vitu kwenye sera yenu kwa nini mumempa vitu yaani madaftari na peni huyo mtoto?
Mwangalieni usoni dogo anavyowashangaa!! mbona mnasema maendeleo sio vitu halafu mnanipa vitu? Dogo anaonyesha wazi kachukia na hawaelewi Chadema anauliza nini hiki mlichonipa mkononi wakati mnasema maendeleo sio vitu na nimemsikia mimi mwenyewe Lisu akiongea nilipokuwa juu pale penye mti? Mbona siwaelewi?
View attachment 1572220
Safi sana, huyu ningekuwa huko alipo ningemnunulia pia sare za shule nyingine kama seti tatu hivi!
Hivyo vifaa vyote haizidi 5000 Tshs.
Huyo njia aliyotumia ndo imeleta hamasa alitoka shule kwenda home wkt anarud home akapita mkutanoni tukamfukuza aende home Dogo akazuga anaenda kumbe akaenda kupanda juu ya mti kusikiliza madini ya mh lissuWhat a double standard. Si mnasema watoto wabaki shule kujisomea na sio kuhudhuria mikutano ya kisiasa Kama wanavyosombwa na ccm? Nilifikiri mngemchapa viboko ati.
Mbona anaonekana kujua mambo mengi kuzidi unri wakeAma hakika kutoa ni moyo , makamanda wa Mbarali wamemkabidhi madaftari na vifaa vingine vya shule bwana mdogo aliyelazimika kupanda juu ya mti ili kushuhudia Tundu Lissu akimwaga sera jukwaani .
Unaweza kuona kama ni jambo dogo lakini ni jambo linalofikirisha mno !
View attachment 1572209View attachment 1572210
Unaweza kumsikiliza dogo hapa akihojiwa na vyombo vya habari vya kimataifa
mbarali hakuna njaa , watoto wanakula kila kituMbona anaonekana kujua mambo mengi kuzidi unri wake
Wacha upumbavu wewe, huyo mtoto kasema mwenyewe kuwa alienda hapo mkutanoni baada ya shule kuwaruhusu kwenda kula chakula cha mchana.
Yeye badala ya kwenda kula akaamua kwenda kumuona rais wake.
Utaweza ?Wakuu nawezaje kumpata ili nimlipie ada mpaka chuo kikuu?
Kabla ya mamvi Edo, alikuwepo Mwenye neema, mzee wa NJI HII, gari haliwashwi linasukumwa...1995Huyu mtoto anaakisi maisha yetu tulipotoka, wengi tuliotoka vijijini tulikuwa hivi.
nakumbuka kampeni ya mwaka 1995 tulilikimbiza gari la nccr mageuzi mvua ikatupiga kisawa sawa