Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

Dah...Mbeya City Wajanja Sana....Wameona Bora bao Lao la Kufutia Machozi Waliweke Kibindoni Kbs....! Kwa kuwa hakuna namna ya Wao kuendelea Ku contain pressure Ya Mnyama mpaka Mwisho.
 
We mbuzi weka update mamaeee
 
Hakukuwa na ulazima wa huyo beki kucheza ile faulo maana Kapombe hakuwa na madhara pale haswa ukizingatia alikuwa tayari na kadi ya njano.


Anyway hawa Simba Sc bado hawatatoka hapa Mbeya .
yaani yule ndo aliyepewa majukumu ya kuiokoa Simba leo ***** zake sijui kapewa sh ngapi pia naona kabisa kuna wachezaji wa Mbeya wanatafuta mwanya wa kuisaidia Simba bado wanacheza mpira wa vurugu ili tu wapate red kadi [emoji2959][emoji2959]
 
Hivi wana Simba wenzangu kwanini wapinzani wetu mara nyingi wanadhoofishwa kwa kadi nyekundu au sisi kupewa penati? Nimefatilia toka kuanza kwa ligi paka leo karibu mechi zote lazima mpinzani wetu alimwe red card au tunapewa penati.. hii imekaaje wanasimba wenzangu
 
Aliyepanga hiki kikosi cha Simba anajua kweli timu za Mbeya zikicheza na Simba? Bernard Morrison hawezi kuwa chaguo la kuanza hata siku moja. Ana upuuzi flani hivi. Ataigharimu timu
Kwanza mzamoru sikuhizi kukaba hakabi vizuri!
Lakini bado sijaelewa kwa nini kocha kawaanzisha wote wa 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…