Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bila kupindisha mke baada ya kutoka akazidisha dharau kisa ana kiajira. (Hata ukiniacha maisha nayaweza mwenyewe, usinibabaishe)Bila kupindisha maneno chanzo ni mwanamke kutoka nje ya ndoa.
Hutaeleweka lakini ndio ukweli.Na mke mmoja tuu inachangia sana haya maumivu hasa kwa mtu muanifi na mtiifu kwa mkewe.
Fuatilieni haya matukio utakuta ni watu wasio na wenza wengine au asiye na kimchepuko pembeni.
NB: ni mawazo yangu tuu haya.
MUNGU ana njia nyingi Sana za kumtetea mwanadamu hata HAO watoto wangeishi Kwa uwezo wa MUNGU na maisha Yao yangebarikiwa piaUkiwaacha watoto watateseka babu. Nani atawalea
Hizi kauli wanazipenda Sana maana wameingia ubia na shetani.Na bila kupindisha mke baada ya kutoka akazidisha dharau kisa ana kiajira. (Hata ukiniacha maisha nayaweza mwenyewe, usinibabaishe)
Wanawake wa Marangu hawaui mtu Mamndenyi atakuhakikishia. Kujituma kwako ndio kutulia kwao, halafu reception wanazo.Hao wa marangu wataniua kisa mali
Waacheni wenye akili waoe,Tukiwaambia msioe hamsikii
Si ndio hao tumewaachia wanafanya mambo ya ajabuWaacheni wenye akili waoe,
Ukiwaacha watoto watateseka babu. Nani atawalea