Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

Ugumu wa maisha + Stress = afya ya akili.
Watu wanatombewa sana siku hizi..kwa ground mambo tight sana..vipato havitoshelezi,matokeo yake ndani ya nyumba maelewano yanapungua.
 
Na mke mmoja tuu inachangia sana haya maumivu hasa kwa mtu muanifi na mtiifu kwa mkewe.

Fuatilieni haya matukio utakuta ni watu wasio na wenza wengine au asiye na kimchepuko pembeni.

NB: ni mawazo yangu tuu haya.
 
Bila kupindisha maneno chanzo ni mwanamke kutoka nje ya ndoa.
Na bila kupindisha mke baada ya kutoka akazidisha dharau kisa ana kiajira. (Hata ukiniacha maisha nayaweza mwenyewe, usinibabaishe)

wanaume mnaopenda mserereko wa kusaidiana maisha chukueni hili mtaishi kwa dhiaka na dharau zisizo kifani na mwisho mtaua na kujiua.

Mwanamke akishakua na kijielimu ongeza kiajira heshima haina nafasi kwake.
 
Na bila kupindisha mke baada ya kutoka akazidisha dharau kisa ana kiajira. (Hata ukiniacha maisha nayaweza mwenyewe, usinibabaishe)
Hizi kauli wanazipenda Sana maana wameingia ubia na shetani.
Kauli zao chafu ndizo kifo chao,sio wanaume wote wanaweza vumilia kauli chafu.
 
Ndoa ikiwashinda ..kila mtu aende kivyake.. ..

Huu upuuzi eti kuuwa kwa kusalitiwa utadhani yeye muuaji Ni malaika Hana waa..na pengine amechangia hayo kwa namna moja au nyengine... Ni ubabe na maamuzi ya kipumbavu sana!

Tenganeni basi!

Ndoa ni taasisi ...
Kuna mengi hapo... Imani inatoweka watu hawana khofu ya Mungu !

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Akifika ahera aahitakiwe Kwa mauaji ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…