Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

Mapenzi kwa mara nyingine tena
Laiti wanawake wangejua kuwa wanaume hawakuumbwa kuhimili migogoro ya kimapenzi wangebadilika wawe wanaopt kuachana tu kuliko kufika kiwango cha kuuana
 
Pepo la mauaji linaloiandama hii nchi si la kawaida.
Usaliti, Usaliti, Usaliti. Ni jinamizi lililoatamia Tanzania kwa sasa kuanzia Uongozi wa juu wa nchi hii...... Sijui nimeeleweka?
 
Dunia hii tunamalizana aisee.Zamani ilikuwa magonjwa na vita,ila hii ya family kuuana na kujiua imepamba kasi sana.
 
wapo wanaojitambua japo ni % ndogo sana,it is almost negligible.

Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
 
Kwamba unaua kwa sababu wanasema Bora mgawane mali au?

Oa mwanamke zaidi ya mmja hutowaza kuua na kanuni ya kutafuta mwanamke wa pili sharti awe tofauti na WA kwanza na unaoa sio kwa sababu unatelekeza ya awali bali kwa sababu unataka kufanya checks and balances..
 
😢

Hata nigombane vipi na mama wa mwanangu .. nisikie ama nithibitishe nini Siwezi ua ...

In a moment of chaos pause and think .. what consequences may occur due to your actions ..

Tunakosa Upendo that's why ... Huruma ..
Hatuna amani mioyoni mwetu ..

Come to terms with yourself first ..

Inauma
 
w
Migogoro ya Mke na Mume inawagharimu watoto ambao hawafahamu chochote.

Wangejimaliza wenyewe wakawaacha watoto.

Najua wanchofikiri wao wakishaaga Dunia watoto watapata tabu, hii ni dhana potofu
Sasa watoto watalelewa na nani?
 
Daah hivi watoto wazur kama hao ukiwa na akili timamu unaanzaje kuua jaman?

Mm Binti yangu wa miaka mitatu huwa namchapa nikiona analia sana naanza kumuonea huruma nambeba kumbembeleza na mara nyingi nikimchapa hataki mtu mwingine ambembeleze Zaid yangu Sasa imagine jitu linaua kabisa aisee!!

Rip little Angels.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…