Mbeya: Mwalimu aua mke na watoto wawili, naye ajiua kwa kunywa sumu

Bora kukaa single sasa,malaika hawana hata hatia mpuuzi mmoja anaenda kuwaua kikatili,binti wa watu naye anauliwa kikatili mkishindwana kwani talaka za kazi gani si achaneni tu?
 
Mkuu hii Si kweli, wewe Ni moja ya wanaume wanaodhani kuwa mwanamke ni Mali ya mme, ukiingiza dhana hiyo kwenye ndoa hata Kama utaoa a standard four woman lazima muachane, Mimi mke wangu Ni mtumishi, Sasa hivi tuna zaidi ya miaka kumi sijawahi hata kunyanyua mkono wangu kumpiga na wara hatuna Migogoro ndani ya familia yetu, Sasa wewe hii research yako ulifanyia wapi?

Mwanamke Kama mkishindana Ni Bora kuachana na sio kuua!!
 
Tozo na mapenzi,maisha yamekua magumu mishahara ya walimu ni midogo,Kupanda kwa mishahara ipo kwa huruma ya wanasiasa.Kipato kikiwa kizuri magomvi hakuna
 
Maoni binafsi;
Mimi naona ni bora taarifa hizi zisitangazwe maana kuna watu wanatamani kuwa kama akina flani(role model).

Flani ikitokea katingwa na jambo aweza kujisemea,"Nitajiua kama yule mwalimu wa Mbeya,
Nitajiua na kumteketeza mke/mme wangu kama yule jamaa wa Mwanza,
Nitajirusha toka ghorofani kama yule sister wa Bugando n.k n.k

Kwahiyo ni vema sheria itamke wazi kwamba alefanya hivi hastahili hata kuandikwa ktk media yoyote!
Au mnasemaje ndugu zangu!??
 
Tozo na mapenzi,maisha yamekua magumu mishahara ya walimu ni midogo,Kupanda kwa mishahara ipo kwa huruma ya wanasiasa.Kipato kikiwa kizuri magomvi hakuna
Ukweli huu!!
Hata mimi naomba mnishike nataka kujiua sasahivi!!
 
Dah haya mambo yako serious kuliko tunavyo dhani

Everyman has his breaking point.

Mental pressure and depression sucks.
 
Haya ni matukio mazito yanayoendelea kutokea kwenye jamii na familia na kwa bahati mbaya huwa tunayajadili kwa lugha nyepesi mno!
 
Huruma sana watoto awana kosa lolote lile ninavyoona ila dhambi iliamua tu kuchukua mkondo wake.
 
Migogoro ya Mke na Mume inawagharimu watoto ambao hawafahamu chochote.

Wangejimaliza wenyewe wakawaacha watoto.

Najua wanchofikiri wao wakishaaga Dunia watoto watapata tabu, hii ni dhana potofu
you're so smart......ni kweli ni dhana dhaifu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…