Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Taahira wewe nawe baba mbona uzao wako una tabu ya kumilikiwa na baba mwehu. Eti una elimu mjinga sana wewe. Mimi nakulisha wewe na familia yako. Juzi mkeo kachelewa unajua alikuwa wapi?Mim ni yule mzee ninaemweka mama yako mzazi mjini kamuulize vizuri anajua Siri ya mgegedo wangu , muulize atakusimulia
Atm anatoa sh ngapi izo za kumfanya mtu aende kumwibia akiwa na bunduki mambo mengine tuacheni ushabiki jaman duuh Atm atoe pesa kuwafanya majambazi waende kumvamia kweli chief?Huu uporaji wa kutumia silaha unaendelea kushamiri, kuna rafiki yangu ni mwalimu katika chuo cha NIT alijeruhiwa pia alipokuwa anatoka kutoa fedha katika ATM maeneo ya kijitonyama
Nani alimpangia ndugu yangu Mkaldayo?Killed for his own money. Ila Alipangiwa atakufa hivyo.
Hii post taki itengenezewe bango kubwa libandikwe pale posta kwenye mnara wa askari.Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
Mkuu Bulesi, kwa kawaida ilivyo, ningeweka mawazo mbadala wa yako haya.Kumbuka Siro alipendekezwa na Makonda kwa mwendazake na ndio akiwa IGP; sasa Makonda yeye ni kundi la GANG, hivyo wewe kwa akili yako unadhani Siro yuko kundi lipi? Siro hakupendwa na mama kumuamuru kumrudisha Wambura Dar. ili hali yeye kwasababu zake Ndio alimuondoa!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan babuuh mie huwa unaniacha hoi hapo tyuuh, kwa mipasho hujambo mweeeh, [emoji119][emoji119][emoji119]Muulize mama yako enzi akiwa girlfriend wangu akuambie wakati anakuja home nilikuwa naishi wapi... mwanamke mwenye busara yule ilikuwaje akaja akazaa poyoyo?
Kwani unadhan kuna mtu ana imani na mother Theresa? Si anaendeshwa km remote kutoka kwa mstaafu fulan, mbna kila kitu kipo wazi.Sio ataonekana hatoshi mpk mda huu huku mtaani nazungumzia wananchi wa tabaka la chini ambao ndo 80% ya watanzania washamchoka popularity ya huyu mama ni humu tu JF na kwenye sosho media nyingne trust me ingawa ntapondwa sana na kuonekana ni pro magufuli but to be honest haswa kitendo cha LUKU kimemharibia credit nyingi sana mazaa...!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee baba kile chuma tukiache tu kama kilivyo. Yule baba yule, basi tu mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulikuwepo wakati anapangiwa?
Naona watu wamejipa nafasi ya kunenea ya wenzao ilhali yao hawayajui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisamehe kama nimekukwaza mupenzi... Si unajuaga vile nakupendaga japo umesusa kujibu PM zangu?[emoji23][emoji23][emoji23] yaan babuuh mie huwa unaniacha hoi hapo tyuuh, kwa mipasho hujambo mweeeh, [emoji119][emoji119][emoji119]
Nuru mpaka muda huu aamini kilichomtokea mumewe.Jimmy ameacha mke mwenye mimba kubwa ya kujifungua leo au kesho na watoto 2 dogo
So sad aisee
Polisi Dar es salaam imetangaza msako mkali wa Majambazi waliosababisha kifo cha Kijana Jimson Kibiki baada ya kumpiga risasi wakiwa kwenye purukushani za kumpora pesa maeneo ya Mbezi Beach...