Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mim ni yule mzee ninaemweka mama yako mzazi mjini kamuulize vizuri anajua Siri ya mgegedo wangu , muulize atakusimulia
Taahira wewe nawe baba mbona uzao wako una tabu ya kumilikiwa na baba mwehu. Eti una elimu mjinga sana wewe. Mimi nakulisha wewe na familia yako. Juzi mkeo kachelewa unajua alikuwa wapi?
 
Huu uporaji wa kutumia silaha unaendelea kushamiri, kuna rafiki yangu ni mwalimu katika chuo cha NIT alijeruhiwa pia alipokuwa anatoka kutoa fedha katika ATM maeneo ya kijitonyama
Atm anatoa sh ngapi izo za kumfanya mtu aende kumwibia akiwa na bunduki mambo mengine tuacheni ushabiki jaman duuh Atm atoe pesa kuwafanya majambazi waende kumvamia kweli chief?
 
Mimi nimevamiwa na kuporwa na majambazi kipindi cha jpm nyie mnaotaka kusema utawala wa ankol akukuwa na haya matukio mshindwe. Ujambazi ulikuwepo na utaendelea kuwepo ata nchi apewe Rambo.
 
Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
Hii post taki itengenezewe bango kubwa libandikwe pale posta kwenye mnara wa askari.

Hii ndo shida kubwa iliyopo katika nchi za Afrika na nchi zote masikini duniani
 
Kumbuka Siro alipendekezwa na Makonda kwa mwendazake na ndio akiwa IGP; sasa Makonda yeye ni kundi la GANG, hivyo wewe kwa akili yako unadhani Siro yuko kundi lipi? Siro hakupendwa na mama kumuamuru kumrudisha Wambura Dar. ili hali yeye kwasababu zake Ndio alimuondoa!!!
Mkuu Bulesi, kwa kawaida ilivyo, ningeweka mawazo mbadala wa yako haya.

Lakini nitaonekana na upungufu, kwa sababu umeunganisha 'doti' zote kiufasaha kabisha, na hukuacha mwanya wa mimi kujipenyeza popote.

HEKO mkuu. Sitakusahau.

JF ingekuwa na watu makini kiasi hikikwa wingi, jukwaa lingekuwa na heshima kubwa sana.
 
Muulize mama yako enzi akiwa girlfriend wangu akuambie wakati anakuja home nilikuwa naishi wapi... mwanamke mwenye busara yule ilikuwaje akaja akazaa poyoyo?
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan babuuh mie huwa unaniacha hoi hapo tyuuh, kwa mipasho hujambo mweeeh, [emoji119][emoji119][emoji119]
 
Sio ataonekana hatoshi mpk mda huu huku mtaani nazungumzia wananchi wa tabaka la chini ambao ndo 80% ya watanzania washamchoka popularity ya huyu mama ni humu tu JF na kwenye sosho media nyingne trust me ingawa ntapondwa sana na kuonekana ni pro magufuli but to be honest haswa kitendo cha LUKU kimemharibia credit nyingi sana mazaa...!!!
Kwani unadhan kuna mtu ana imani na mother Theresa? Si anaendeshwa km remote kutoka kwa mstaafu fulan, mbna kila kitu kipo wazi.
 
Kijana huna adabu mi nakaa chumba k9moja na mama ako namshikisha Ukuter, tulia kijana uwe na adabu
 
Polisi Dar es salaam imetangaza msako mkali wa Majambazi waliosababisha kifo cha Kijana Jimson Kibiki baada ya kumpiga risasi wakiwa kwenye purukushani za kumpora pesa maeneo ya Mbezi Beach.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM Camilius Wambura amesema "tukio lilitokea jana saa saba na nusu mchana alikua ametoka Benki Mikocheni alikochukua kama milioni 8 akaelekea kwenye Benki nyingine Afrikana nafikiri kulikua na matatizo ya kibenki pale kwahiyo akatoka kuelekea nyumbani maeneo ya Juliana"

"Alikua ana milioni nne kwenye mifuko yake ya suruali na milioni nne nyingine kwenye bahasha ndipo alipokutana na hilo tatizo, Watu hao wadhaniwao kuwa Majambazi walimpiga risasi tumboni, akapelekwa Hospitali Mbezi beach kwa huduma ya kwanza baadae Muhimbili ndiko alikofariki"

"Wale ni Watu ambao wameua, lile ni tukio la mauaji.. taarifa ya Polisi ni kwamba tuko mbioni kuwatafuta na kuhakikisha tumewapata na kuchukua hatua za kisheria dhidi yao, kwenye tukio hilo walichukua milioni 4 na kuondoka nazo"
 
Milioni 8 ama 10?

Jambo la pili, kuhamisha pesa kiasi chochote kutoka bank moja hadi nyingine ni elfu kumi tu.

Usitembee na pesa zote hizo unahatarisha maisha yako kwa gharama ndogo sana ya elfu 10 tu.

Sasa jamaa anachukua 8M bank moja anaenda nayo bank nyingine badala ahamishw kwa only 10k tu.
 
Polisi Dar es salaam imetangaza msako mkali wa Majambazi waliosababisha kifo cha Kijana Jimson Kibiki baada ya kumpiga risasi wakiwa kwenye purukushani za kumpora pesa maeneo ya Mbezi Beach.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum DSM Camilius Wambura amesema "tukio lilitokea jana saa saba na nusu mchana alikua ametoka Benki Mikocheni alikochukua kama milioni 8 akaelekea kwenye Benki nyingine Afrikana nafikiri kulikua na matatizo ya kibenki pale kwahiyo akatoka kuelekea nyumbani maeneo ya Juliana"

"Alikua ana milioni nne kwenye mifuko yake ya suruali na milioni nne nyingine kwenye bahasha ndipo alipokutana na hilo tatizo, Watu hao wadhaniwao kuwa Majambazi walimpiga risasi tumboni, akapelekwa Hospitali Mbezi beach kwa huduma ya kwanza baadae Muhimbili ndiko alikofariki"

"Wale ni Watu ambao wameua, lile ni tukio la mauaji.. taarifa ya Polisi ni kwamba tuko mbioni kuwatafuta na kuhakikisha tumewapata na kuchukua hatua za kisheria dhidi yao, kwenye tukio hilo walichukua milioni 4 na kuondoka nazo" ——— RPC Wambura.
 
Kwann unaandika milioni 10 kwenye kichwa cha habari
 
Back
Top Bottom