Kama unaishi jijini huwezi kujua kwa nini watu wanatembea na hela nyingi.Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa, wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja, gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.
Ongelea uongozi wake ila kugusa mambo yanayoingiliana na Imani jitahidi kuyaweka mbali.
Sisi ni binadam wamoja tuko huru kutofautiana ki itikadi na kuendelea kuheshimiana kwa misingi isio leta dhihaka au vichocheo vya hasira.
Hapa ume mtukana Yeye na umeitukana iman(Japo sio moja kwa moja).
Kwani hawawez kuwasiliana kwa watsap au FacebookHiyo simu haikusajiriwa, ili isaidie polisi?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binamu bana unajuaga kunikosha aiseeMwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.
Ongelea uongozi wake ila kugusa mambo yanayoingiliana na Imani jitahidi kuyaweka mbali.
Sisi ni binadam wamoja tuko huru kutofautiana ki itikadi na kuendelea kuheshimiana kwa misingi isio leta dhihaka au vichocheo vya hasira.
Hapa ume mtukana Yeye na umeitukana iman(Japo sio moja kwa moja).
Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
Post yake hata mimi sijaipenda. Ila sijaona udini wowote. Ushungi unavaliwa na watu wa Imani zote. Kitu kizuri ameomba radhi.Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.
Ongelea uongozi wake ila kugusa mambo yanayoingiliana na Imani jitahidi kuyaweka mbali.
Sisi ni binadam wamoja tuko huru kutofautiana ki itikadi na kuendelea kuheshimiana kwa misingi isio leta dhihaka au vichocheo vya hasira.
Hapa ume mtukana Yeye na umeitukana iman(Japo sio moja kwa moja).
Think twice. Mtu anaweza kutoa hata bilioni moja lakini ana ulinzi mzuri hivyo inakuwa vigumu kufanya chochote. Benki wako watu wana-withdraw mamilioni kila siku lakini kutoka na kuwa ''imara'' katika kusafirisha fedha inakuwa vigumu kuwapora. Wewe ukitoa vi-milioni vyako viwili kama hujachukuwa tahadhari wanakupiga tanchi mara moja.Banker hawezi uza ramani ya four m wakati kuna mamia ya m yanayotoka katika bank husika
Hivi unaanzaje kwenda kutoa 4M benki wakati ungeweza kuzisambaza kwa simu huko unakotakiwa kuzituma? ... Pesa kila mtu anazitaka, kuziweka kwenye viroba na kutembea nazo mitaani ni kujitafutia kifo, isitoshe Polisi wanatoa huduma kwa mtu anayechukua lundo la mihela... Huyu jamaa sijui ilikuwaje.
Post yake hata mimi sijaipenda. Ila sijaona udini wowote. Ushungi unavaliwa na watu wa Imani zote. Kitu kizuri ameomba radhi.
Think twice. Mtu anaweza kutoa hata bilioni moja lakini ana ulinzi mzuri hivyo inakuwa vigumu kufanya chochote. Benki wako watu wana-withdraw mamilioni kila siku lakini kutoka na kuwa ''imara'' katika kusafirisha fedha inakuwa vigumu kuwapora. Wewe ukitoa vi-milioni vyako viwili kama hujachukuwa tahadhari wanakupiga tanchi mara moja.
Mkuu 'warumi', sijawa(higa) kukusoma hadi hii leo.Yule baba alitumwa na Mungu , alikua na karama ya uongozi ya kutisha, aliniboaga tu kutuzimia Internet na ule ushindi wa kishindo 2020[emoji23], ila ki ukweli ana mazuri mengi sana ya kukumbukwa.
Ndio maana Kila Siku alikua anaimba mtanikumbuka Coz alijua kazi aliyokua anaifanya hakuna wa kuweza kuifanya, viongozi wengi ni waoga mno na wapenda kujipendekeza magu hakua na shobo za hovyo
That’s what I’m talking about , hatumchukii Mama ila tunachukia uongozi wake, speech zake zimearibu kila kitu , hii nchi haitaki maneno matamu, Mama asilazimishe kufanya mambo hili apendwe.
Hii nchi usipokua mwendawazimu kama magufuli, hakuna tutakapoenda, Nina mashaka kama mama atamaliza hiyo miaka minne, tumeshachoka, watu tumeshazoea mikiki mikiki bhana, mama ana mdomo sana vitendo zero
Huenda Magufuli na Samia wakatupa funzo muhimu waTanzania, aina ya uongozi tunaoutaka utuongoze.Huu uhuru mama aliotupa utamcost[emoji23], tunademka sana[emoji16]
Mkuu 'warumi', sijawa(higa) kukusoma hadi hii leo.
Ni kazi ngumu sana kuwa shabiki wa Magufuli, lakini yapo mazuri ya kumsifia hata kwa wasiomshabikia kama mimi.
Ila wewe umekuwa 'hardliner' mno kwa huyu mama, mpe muda, huenda kuna mazuri atayafanya.
Huenda Magufuli na Samia wakatupa funzo muhimu waTanzania, aina ya uongozi tunaoutaka utuongoze.
Ingewezekana hapo 2025 tukawa na uchaguzi huru na haki, na kukapatikana wagombea wenye hulka zinazoshabihiana na za hawa wawili.
Watu waachwe huru wachague kiongozi wanayemtaka kati yao.
Ni ngumu kurejea maana polisi wapo kazini,hivi juzi tu nimepigiwa simu naambiwa jirani yangu kabebwa na polisi juu juu,hatukufahamu kama jamaa alikuwa miongoni mwao ila tulikuwa tukiishi naye kama mtu mwema kumbe muuaji.Sitashangaa kibiti ikirudi.
Labda alikuwa na mgao kwenye fungu hilo.Inasikitisha sana,Jamaa alikuwa Account Manager wa Vodacom ,it means maswala ya miamala anayajua vizuri ,ilikuwa simple tu kufanya transfer tu ya mpunga from huko alipochukua milioni 8 kwenda account yake ya NMB via SimBanking.