Kama unaishi jijini huwezi kujua kwa nini watu wanatembea na hela nyingi.Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa, wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja, gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
Wale wanafuata mzigo vijini ndani ndani wanaelewa.
Anyway! Hata kutembea na m kadhaa ni shida?
IGP ni yuleyule au amebadilishwa?
rpc's wakisikia maandamano ya amani wanafura hatari.