Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa, wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja, gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
Kama unaishi jijini huwezi kujua kwa nini watu wanatembea na hela nyingi.
Wale wanafuata mzigo vijini ndani ndani wanaelewa.
Anyway! Hata kutembea na m kadhaa ni shida?
IGP ni yuleyule au amebadilishwa?
rpc's wakisikia maandamano ya amani wanafura hatari.
 
Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.

Ongelea uongozi wake ila kugusa mambo yanayoingiliana na Imani jitahidi kuyaweka mbali.
Sisi ni binadam wamoja tuko huru kutofautiana ki itikadi na kuendelea kuheshimiana kwa misingi isio leta dhihaka au vichocheo vya hasira.

Hapa ume mtukana Yeye na umeitukana iman(Japo sio moja kwa moja).
 
Nimeteleza kwa hilo, sikua na nia ya kubugudhi imani ya mtu
 
Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Binamu bana unajuaga kunikosha aisee
 
Kwani ushungi ni dini?
Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.

Ongelea uongozi wake ila kugusa mambo yanayoingiliana na Imani jitahidi kuyaweka mbali.
Sisi ni binadam wamoja tuko huru kutofautiana ki itikadi na kuendelea kuheshimiana kwa misingi isio leta dhihaka au vichocheo vya hasira.

Hapa ume mtukana Yeye na umeitukana iman(Japo sio moja kwa moja).
 
Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
Nakufahamu umdini sana Ila jitahidi Udini wako uwe na mipaka.

Ongelea uongozi wake ila kugusa mambo yanayoingiliana na Imani jitahidi kuyaweka mbali.
Sisi ni binadam wamoja tuko huru kutofautiana ki itikadi na kuendelea kuheshimiana kwa misingi isio leta dhihaka au vichocheo vya hasira.

Hapa ume mtukana Yeye na umeitukana iman(Japo sio moja kwa moja).
Post yake hata mimi sijaipenda. Ila sijaona udini wowote. Ushungi unavaliwa na watu wa Imani zote. Kitu kizuri ameomba radhi.
 
Banker hawezi uza ramani ya four m wakati kuna mamia ya m yanayotoka katika bank husika
Think twice. Mtu anaweza kutoa hata bilioni moja lakini ana ulinzi mzuri hivyo inakuwa vigumu kufanya chochote. Benki wako watu wana-withdraw mamilioni kila siku lakini kutoka na kuwa ''imara'' katika kusafirisha fedha inakuwa vigumu kuwapora. Wewe ukitoa vi-milioni vyako viwili kama hujachukuwa tahadhari wanakupiga tanchi mara moja.
 
Hivi unaanzaje kwenda kutoa 4M benki wakati ungeweza kuzisambaza kwa simu huko unakotakiwa kuzituma? ... Pesa kila mtu anazitaka, kuziweka kwenye viroba na kutembea nazo mitaani ni kujitafutia kifo, isitoshe Polisi wanatoa huduma kwa mtu anayechukua lundo la mihela... Huyu jamaa sijui ilikuwaje.

Inasikitisha sana,Jamaa alikuwa Account Manager wa Vodacom ,it means maswala ya miamala anayajua vizuri ,ilikuwa simple tu kufanya transfer tu ya mpunga from huko alipochukua milioni 8 kwenda account yake ya NMB via SimBanking.
 
Think twice. Mtu anaweza kutoa hata bilioni moja lakini ana ulinzi mzuri hivyo inakuwa vigumu kufanya chochote. Benki wako watu wana-withdraw mamilioni kila siku lakini kutoka na kuwa ''imara'' katika kusafirisha fedha inakuwa vigumu kuwapora. Wewe ukitoa vi-milioni vyako viwili kama hujachukuwa tahadhari wanakupiga tanchi mara moja.

Ni kweli mkuu ,vibaka wanakupiga TANCHI hata milioni ukichukua kwenye ATM kiboya boya.
 
Yule baba alitumwa na Mungu , alikua na karama ya uongozi ya kutisha, aliniboaga tu kutuzimia Internet na ule ushindi wa kishindo 2020[emoji23], ila ki ukweli ana mazuri mengi sana ya kukumbukwa.

Ndio maana Kila Siku alikua anaimba mtanikumbuka Coz alijua kazi aliyokua anaifanya hakuna wa kuweza kuifanya, viongozi wengi ni waoga mno na wapenda kujipendekeza magu hakua na shobo za hovyo
Mkuu 'warumi', sijawa(higa) kukusoma hadi hii leo.

Ni kazi ngumu sana kuwa shabiki wa Magufuli, lakini yapo mazuri ya kumsifia hata kwa wasiomshabikia kama mimi.

Ila wewe umekuwa 'hardliner' mno kwa huyu mama, mpe muda, huenda kuna mazuri atayafanya.
That’s what I’m talking about , hatumchukii Mama ila tunachukia uongozi wake, speech zake zimearibu kila kitu , hii nchi haitaki maneno matamu, Mama asilazimishe kufanya mambo hili apendwe.

Hii nchi usipokua mwendawazimu kama magufuli, hakuna tutakapoenda, Nina mashaka kama mama atamaliza hiyo miaka minne, tumeshachoka, watu tumeshazoea mikiki mikiki bhana, mama ana mdomo sana vitendo zero
 
Huu uhuru mama aliotupa utamcost[emoji23], tunademka sana[emoji16]
Huenda Magufuli na Samia wakatupa funzo muhimu waTanzania, aina ya uongozi tunaoutaka utuongoze.

Ingewezekana hapo 2025 tukawa na uchaguzi huru na haki, na kukapatikana wagombea wenye hulka zinazoshabihiana na za hawa wawili.

Watu waachwe huru wachague kiongozi wanayemtaka kati yao.
 
Alale pema peponi
mcgarab-___CPKrDRZM7AO___-1.jpeg
 
Mkuu 'warumi', sijawa(higa) kukusoma hadi hii leo.

Ni kazi ngumu sana kuwa shabiki wa Magufuli, lakini yapo mazuri ya kumsifia hata kwa wasiomshabikia kama mimi.

Ila wewe umekuwa 'hardliner' mno kwa huyu mama, mpe muda, huenda kuna mazuri atayafanya.

“Huenda kuna mazuri atafanya” kumbe hadi wewe umeona kuwa Mama hadi sasa bado anademka tu hakuna anachokifanya. Kwa nafasi ya juu aliyokua nayo mama before kuwa raisi , hatukutegemea afanye anayoyafanya.

Wananchi sio wajinga, hivi hujagundua watu Siku hizi hawana mzuka kabisa na raisi , vile vigere gere na shangwe zote zimeisha, watu hawamuelewi Mama , Mama haeleweki,Mama hana msimamo, Mama haaminiki, Mama hana maamuzi ya kueleweka.

Bora magufuli tulimjua ni dictator, mwendawazimu ila Mama bado haeleweki mpaka sasa hivi , anapenda sana kulaghai watu na maneno matamu, kuna katabia anakaficha.
 
Huenda Magufuli na Samia wakatupa funzo muhimu waTanzania, aina ya uongozi tunaoutaka utuongoze.

Ingewezekana hapo 2025 tukawa na uchaguzi huru na haki, na kukapatikana wagombea wenye hulka zinazoshabihiana na za hawa wawili.

Watu waachwe huru wachague kiongozi wanayemtaka kati yao.

Kwa Mama Hapana , Mama atatuaribu, Mama ana Malezi mabaya...

Hivi umegundua wananchi hawana shobo kabisa na Mama ? , mama anaonekana mpole na mkarimu, ila ana dharau sana na kiburi cha hali ya juu
 
Inasikitisha sana,Jamaa alikuwa Account Manager wa Vodacom ,it means maswala ya miamala anayajua vizuri ,ilikuwa simple tu kufanya transfer tu ya mpunga from huko alipochukua milioni 8 kwenda account yake ya NMB via SimBanking.
Labda alikuwa na mgao kwenye fungu hilo.
 
Back
Top Bottom