Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai
 
Tutaelewana tu kidogo kidogo, tofauti ya mtawala na kiongozi! Mwisho mtachagua tu mazishi au kusafirisha
 
tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafai
Huyo mwehu anajifanya kumtaja Magu sahizi! Atulie aache mapepe si walidai mama atatuvusha! Kama disko ndio kwanza saa 4 usiku sahizi
 
tatizo sio sirro mkuu. na kama tatizp ni sirro kwanini asimuondoe akamuweka anayemtaka
 
Hali si nzuri! Taarifa za matukio zinarudi kwa kasi sana. Issue sio kubadili makamanda tu bali kuna system imebadilika ghafla baada ya mwendazake kuondoka. Ni kama wale matapeli ya zamani yameshika mpini! Wahalifu hawana hofu tena.
 
Hapa kuna tatizo jeshi la polisi kwasababu ni polisi hawahawa chini ya IGP yuleyule walitokomeza ujambazi kipindi cha Mwendazake, na ni polisi hawahawa na IGP huyohuyo wanashindwa kutumia mbinu zilezile walizotumia wakati wa Mwendazake katika kudhibiti uhalifu wakati wa Samia

Bila shaka kuna hiden agenda behind the scene

Mama Samia tafuta IGP anayeweza kudundika na midundo yako
 
Watu si mlitaka Uhuru wa kufanya kazi bila bugdha.?.
Sasa hivi na majambazi nao wamepewa Uhuru wa kufanya kazi zao.
Nadhani soon mzunguko wa Ela utaongezeka mtaani kwa Uhuru tuliopewa.
haha. watu wanataka hela ionekane mtaani
 
Viongozi wa jeshi la polisi wanatakiwa kuwajibishwa. Hii sasa ni makusudi kazi hawafanyi.
Polisi wakiamua huwa wanakomesha haya mambo lakini naona wameamua kutulia na kusubiri mshahara tu.
 
mkuu TRA wanasoma hadharani,kwamba tumewaachia watuhumiwa 126 WALIOKUA WAMEFUNGWA KWA KESI ZA KUBAMBIKIWA,unadhani polisi wanakuwa na ujasiri wa kushughulika na mharifu kinyume na sheria????hapo ndipo wananchi wanaendelea kukobolewa sasa.

binafsi nimsisitize mama,kama hataruhusu mkono wa chuma,mengi na mabaya tutayashuhudia sana utawala wake.

kuna mambo kwa asili yake tu hayataki siasa na tafadhali nyingi.unaharibu.
 
Apige kichwa tu basi. Haiwezekani jeshi lilelile liweze kipindi kile lakini lishindwe sasa.
Ni makusudi.
 
utawala wa sheria kila sehemu,ni sawa na kuvaa earphone huku unabeba zege,zitakuchanganya.
 
Kwahiyo polisi wanashinikiza kesi za kubambikiziwa ziendelee. Ilikuwa ndo kula yao pengine.
Kuna mtu anatakiwa kuwajibishwa hapo.
 
kuanza 2016,ujambazi wa silaha ulikoma kabisa.mpaka watu wakaanza kuona hakuna sababu ya askari kuzurula na silaha mtaani.

sababu ni moja,ulikuwa ukikamatwa na silaha haijasajiliwa bro,siku mbili mbele tutakuta likiroba limefungwa kama furushi.
 
Full stop. !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…