tulia dawa ikuingie. magu hapa hausiki tushamsahau pambana na maisha bila magu sasa. agizeni chanjo mnayoitaka, unamtaja mtu aliyefariki miezi 2, hivi unaakili kweli wewe. wekeni mnayoona yanafaa na toeni mnayoona hayafaiPolisi ndio majambazi wenyewe. Huyu mama acha acheke na nyani atavuna mabua soon. Inatakiwa hii nchi sasa hivi miji mikuu yote ilindwe na JWTZ. Udokozi ujambazi na ujinga ujinga unarudi kwa speed ya mabomu ya Israel. Magufuli nilikuwa simkubali kwa mambo mengi sana ila yule dume halikuwa hataki ujinga wa kisengesenge kama huu. Jiwe alikuwa kiboko wasomi na elimu aliwageuza chekechea jiulize kuna mtu na elimu ya mwisho kbs alikunywa dawa ya Madagascar bila kupenda halafu leo anagomea chanjo ya covid 19. Magu mungu akuweke unapostahili, ila ulijua kuchezea na ndeze wabongo.