Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

wewe mndengereko unajua mgawanyo wa majukumu au umeongea tu pumba hapa.JWTZ hawezi kuingilia kazi za polisi.Hapo kikubwa tuwape rai polisi wetu waendelee na ile mbinu yao 'catch to kill'
 
Kwa wanaopenda kutoa hela nyingi benki wangefikiria kutolea hela hizo kwenye benki ambazo maeneo ambayo yana usalama mfano Posta DSM
Jambazi hafanyi tukio bila mchoro.

Hivyo hakuna cha Posta wala wapi wakikuamria.

Dawa ni kutumia mtindo wa 'E money' katika transaction badala ya maburungutu, mtindo ambao kuna maeneo mengine ilishabakia historia.
 
wewe mndengereko unajua mgawanyo wa majukumu au umeongea tu pumba hapa.JWTZ hawezi kuingilia kazi za polisi.Hapo kikubwa tuwape rai polisi wetu waendelee na ile mbinu yao 'catch to kill'
sasa ni utawala wa sheria,marufuku kuua.

mahakama zipo.
 
hakuna kesi ya kubambikiza,ila kuna kesi zinazokosa vigezo vya kimahakama.ili uende jela lazima igeuzwe ifiti kwenye adhabu.

hakuna shida,wanaoumia sio polisi,sio wanaharakati no wananchi wa kawaida.
Unaonekana una madai ya msingi.
Hili shauri unaweza lifungua mahakamani.
 
Police wanajua michongo yote ya town, nikama dharau kwa mama hii........hata maeneo ya ubungo na viyongoji vyake wizi umerudi kama kawaida
 
Huyo mwehu anajifanya kumtaja Magu sahizi! Atulie aache mapepe si walidai mama atatuvusha! Kama disko ndio kwanza saa 4 usiku sahizi
alafu si sahihi kimtaja magu ambae ashafari. issue ni watoe yale waliona magu kakosea waweke mambo yao mapya, mbona kitu rahisi sana. wamshauri mama mambo wanayoyataka. mi nashangaa kukicha magu
 
alafu si sahihi kimtaja magu ambae ashafari. issue ni watoe yale waliona magu kakosea waweke mambo yao mapya, mbona kitu rahisi sana. wamshauri mama mambo wanayoyataka. mi nashangaa kukicha magu
Wanaanzisha wao, watu wakianza kumsema wanaanza kulalamika.
 
nahisi mama anataka kipendwa na kusifiwa kule twitani
 
Mchezo huu unafanywa na wafanyakazi wa benki wenyewe, ni vigumu sana mtu wa nje kujuwa mteja katoa kiasi gani. Hapa wa kumkamata ni mtu wa mwisho hapo benki aliyemsaidia huyu jamaa kutoa hela kwenye account, akamatwe na anyongwe ili iwe fundishio kwa wengine.
 
utawala wa sheria mkuu acha jazba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…