Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Nmewashambulia au nimewajulisha kwamba kazi ya kurudisha hela mtaani ili muokote ndio hiyo imeanza?Unaosema wanataka waokote hela mtaani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmewashambulia au nimewajulisha kwamba kazi ya kurudisha hela mtaani ili muokote ndio hiyo imeanza?Unaosema wanataka waokote hela mtaani.
mkuu tutaona na kusikia mengi tu. nchi hii kuiongoza s rahisi kama watu wanavyofikiria. JPM aliiweza vizr.Daaah kweli mkuu,kauli zake zilikuwa hazIna masihara, nakumbuka aliwahi kuongea mara moja tu kuhusu utekaji wa magari pori la nyakanazi (watumiaji wa barabara hiyo wanapajua)watu walikuwa wanatekwa sana,wanavuliwa nguo zote wanaanza kuimbishwa "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe"jamaa alisema raia wanaishi kwa hofu ndani ya nchi yao wenyewe wakati polisi wapo Jw wapo inakuwaje eneo linajulikana kuna majambazi wanatamba tu hawakamatwi,hataki huo ujinga!!ikafanyika operation watekaji wakapotea,sasa kwa hali inavyoendelea watu wanapita kwa hofu kwenye lile pori!!!! MAMA NI KIONGOZI MZURI LAKINI AKAZE SAUTI.
Basi mkuu usiwe na hasira sana ukashindwa kumhudumia mumeo leo!Matehemu alikua mwehu kama wewe,punguani wewe n ushabiki wako wa kindezi,forakoo
juzi si aliongea kuhusu majambazi kijaribu kina. sasa wanavua nguo waanze kuogelea.Mama atoe tamko!majambazi yote kuuawa mahali popote hata kama hawajafanya tukio lolote!!
Utajua hujuiKuuawa huyo mdingi au ujambazi unamuingizaje Magufuli katika hii mada? Maana naona watu tutamkumbuka tutamkumbuka! Acheni ushamba
Au ishu hizo kuna kipindi zinasimama kabisa zisijitokeze hata siku moja kiasi kwamba ikija kutokea iwe gumzo kiasi hiki
Au...!!!?
comment ya hovyo haijawah kutokea. mtu alipe kodi ya usalama na ulinzi alafu alipe askari kwa ulinzi mwengine. inaonekana hata haki zako huzijui wewKama ni hivyo basi inabidi uingie gharama ya polisi escort.
Labda aikuwa anaenda kuwalipa Mafundi/vibarua.Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa ,wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja,gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
unaondoaje ujambazi wakati juzi tu umewaachia eti wamebambikiziwa kesiAmeshasema mbona au asemaje? Kasema kipimo Cha RPC Ni kuondoa majqmbazi, wakishindwa anawaondoa
Ila kilichobadilika ni mwendesha IGP, au sio?IGP ni Yule Yule, tunamwona ni Yule yule
comment ya hovyo haijawah kutokea. mtu alipe kodi ya usalama na ulinzi alafu alipe askari kwa ulinzi mwengine. inaonekana hata haki zako huzijui wew
Hakika! ataonekana hatoshi. Sasa hivi zile foleni za kijinga zimeanza kuonekana jijini Dar es Salaam.. sijui tunaelekea wapi!Kidogo inaanza kutia wasiwasi.
Ni kama mama hakuwemo kwenye serikali iliyokuwa imeyadhibiti haya mambo, na sasa ni kama anatafuta njia zake mpya kabisa kwa kila kitu, jambo ambalo inaonekana inamchukua muda mrefu na kutoa mwanya kwa watu kujifanyia yao.
Hivi polisi nao wamebadili utendaji kazi wao uliokuwa umedhibiti uhalifu wa aina
Samia atalinganishwa na mtangulizi wake katika baadhi ya mambo, na ataonekana hatoshi kabisa!
Ulikuwepo wakati anapangiwa?Killed for his own money. Ila Alipangiwa atakufa hivyo.
Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.RIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Wanapataje pesa ya kuelewa kama hawafanyi kaz? acha majunguHuku tabata watu wanalewa usiku kucha,JUMATATU mpaka jumapili.!
Je kazi wanafanya SAA ngapi??
Acha ujinga wewe mfumo gani umekosekasekana sasa?Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
yeah, maana wakienda bar moja moto moja baridiTena anafungua nchi, na wanataka hela zimwagike mtaani ndio hizo sasa! Tena atulie