livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Kama hajui la kufanya alizaini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila bado changamoto ipo maana hata huyo inginia anahitaji cash ili amalizane na Mafundi/vibarua.....kwa hiyo lazima mzigo utoke Benki.
Hao wezi nao Ni vichaa, ATM kachukua sh. Ngapi izo mpk umjeruhi mwenzioHuu uporaji wa kutumia silaha unaendelea kushamiri, kuna rafiki yangu ni mwalimu katika chuo cha NIT alijeruhiwa pia alipokuwa anatoka kutoa fedha katika ATM maeneo ya kijitonyama
Hao mafundi hawana namba za simu?Ila bado changamoto ipo maana hata huyo inginia anahitaji cash ili amalizane na Mafundi/vibarua.....kwa hiyo lazima mzigo utoke Benki.
Hao mafundi hawana namba za simu?
Kwanini msiwatumie kwa simu ?
Pumbavu zao kabisa 😅😅😅 na ujambazi uendelee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakae kwa kutulia!
Nashauri hao majambazi waongeze juhudi ili mzunguko wa hela uongezeke mtaani bavicha wawe wanajiokotea hela.
Na waongeze juhudi ili kuwakomoa mataga, sukuma gang na marehemu
Kuna askari nipo nae hapa anasema kipindi cha mgu walikua wakimkata jambazi au kibaka wao wanapiga chuma tu..hakuna kumfikisha kituoni
Kaka yake na mama yakoAnko gani huyo utaye mmiss?
Kweli wewe kichwa nazi, huo mfumo ndio dude gani? Unaongozwa na binadamu au kitu gani? Km ni binadamu si ndio hawahawa wanaoongoza sasa?Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
Wewe tayari umekwishapoteza sifa, kwa sababu kila anayesema kitu kuhusu mama siyo lazima awe shabiki wa hyuo mwingineBadala ya kulaumu majambazi unamlaumu rais! Chuki zenu kwa mama Samia zitaisha lini? Unataka kutuaminisha kipindi cha huyo mjomba wako uhalifu haukuwepo? Roma, Mo Dewij na matukio ya maiti kuokotwa kwenye viroba ni kipindi cha utawala upi vile? Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu nalo hukumbuki? Usipokumbuka haya hakika utakuwa kiazi mviringo..!!
Ulishafanya kazi na Vibarua Mkuu?.Hao mafundi hawana namba za simu?
Kwanini msiwatumie kwa simu ?
Mfumo wowote hata uwe mzuri vipi bado unahitaji USIMAMIZI na UONGOZI IMARA,so kama hatuna wasimamizi na viongozi waliobora tutaendelea kuumia,ila kwa sasa dalili zina onyesha hatuna usimamizi wala viongozi bora.Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
Wanaouza ramani always ni mabenkers. sasa wanafurahia nini kula hela za damuKuna banker kauza ramani.
ni niRIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Kumbuka Siro alipendekezwa na Makonda kwa mwendazake na ndio akiwa IGP; sasa Makonda yeye ni kundi la GANG, hivyo wewe kwa akili yako unadhani Siro yuko kundi lipi? Siro hakupendezwa na mama kumuamuru kumrudisha Wambura Dar. ili hali yeye kwasababu zake Ndio alimuondoa!!!Mstari huo wa mwisho naona kama unajibu mstari wa kwanza mkuu, hivi umejaribu kuwaza kidogo ulipokuwa unaiandika hiyo mistari?
Mim ni yule mzee ninaemweka mama yako mzazi mjini kamuulize vizuri anajua Siri ya mgegedo wangu , muulize atakusimuliaTuna wazee wenye werevu wengi nchi hii ila tuna mzee mjinga kama wewe kwa akili hii lazima umebambikiwa watoto kawapime DNA. Wewe ulizaliwa na smart phone kila jambo tunajifunza takataka wewe. Mpuuzi ww mimi nina elimu kushinda yako usiongee kufurahisha uzee wako. Uwe na akili siku nyingine mata core yako. Jikaze baba msiba umeshatokea. Usiwe na tabia ya Farasi kupenda kupandwa.
Kamanda Sirro, suspect mwingine huyu hapa. Kushabikia uhalifu ni uhalifu pia
Akinigusa tu namsemea kwa Mama.Kamanda Sirro, suspect mwingine huyu hapa. Kushabikia uhalifu ni uhalifu pia.