Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Ukiona hivyo ujue watu hawaogopi tena kutoa pesa nyingi bank kama miaka 5 iliyopita,
 
Ila bado changamoto ipo maana hata huyo inginia anahitaji cash ili amalizane na Mafundi/vibarua.....kwa hiyo lazima mzigo utoke Benki.

Fundi hawezi kwenda site na mzigo wote ,kwa nyumba zetu hizo ndogo ndogo mafundi hawawezi kuzidi 10 ,fundi day 25 na saidia fundi 15 ,kwahiyo avarage kila fundi ni 20 kwa mafundi 10 jumla laki 2 , laki mbili wekundu 20 hata mtu hawezi kujua kama una hela.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tena wakae kwa kutulia!

Nashauri hao majambazi waongeze juhudi ili mzunguko wa hela uongezeke mtaani bavicha wawe wanajiokotea hela.

Na waongeze juhudi ili kuwakomoa mataga, sukuma gang na marehemu
Pumbavu zao kabisa 😅😅😅 na ujambazi uendelee
 
Kuna askari nipo nae hapa anasema kipindi cha mgu walikua wakimkata jambazi au kibaka wao wanapiga chuma tu..hakuna kumfikisha kituoni

Kwa nini wamesitisha? Kwa nini wasiendelew na huu utaratibu kama ulikua unafanya kazi [emoji848]
 
Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
Kweli wewe kichwa nazi, huo mfumo ndio dude gani? Unaongozwa na binadamu au kitu gani? Km ni binadamu si ndio hawahawa wanaoongoza sasa?
Tatizo mnakariri kila kitu bila kuchuja kama kasuku.
 
Haya mambo naona yanaanza kurudi watu wa benki ,askari wasio waaminifu majambazani na bodaboda wanashirikiana.mie nitoke bank na hela Nan anajua kama ninazo
 
Badala ya kulaumu majambazi unamlaumu rais! Chuki zenu kwa mama Samia zitaisha lini? Unataka kutuaminisha kipindi cha huyo mjomba wako uhalifu haukuwepo? Roma, Mo Dewij na matukio ya maiti kuokotwa kwenye viroba ni kipindi cha utawala upi vile? Tukio la kushambuliwa Tundu Lissu nalo hukumbuki? Usipokumbuka haya hakika utakuwa kiazi mviringo..!!
Wewe tayari umekwishapoteza sifa, kwa sababu kila anayesema kitu kuhusu mama siyo lazima awe shabiki wa hyuo mwingine

Matukio hayo uliyotaja hapo juu yanaeleweka, kwa sababu wahusika ndio hao hao tunaowasema humu.

Haitasaidia kumshabikia mama kama atashindwa kufanya kazi wanayotaka waTanzania aifanye. Usipende mtu, penda nchi na watu wake.
 
Hao mafundi hawana namba za simu?

Kwanini msiwatumie kwa simu ?
Ulishafanya kazi na Vibarua Mkuu?.

Kila mmoja atatoa sababu yake akitaka umpe pesa mkononi....atakwambia simu ina matatizo au akwambie kabisa anadaiwa mtandaoni n.k.
 
Ndiyo hasara ya kumtegemea mtu mmoja kama mganga wa mvua wa kijiji. Suluhisho ni kujenga MIFUMO imara ya utawala itakayohimili mabadiliko yoyote yale iwe ya uongozi wa mtu au chama kilichoko madarakani.
Nchi za wenzetu zilizoendelea huwezi kuona utendaji wa jeshi la polisi unafifia kisa tu rais wa nchi amebadilika au chama kilichokuwa kinatawala hakipo tena madarakani.
Kama ni kweli matukio haya yana tokea awamu hii simply because kuna mabadiliko ya uongozi basi ni dhahiri tuna mfumo mbovu sana wa utawala kupindukia. QED.
Mfumo wowote hata uwe mzuri vipi bado unahitaji USIMAMIZI na UONGOZI IMARA,so kama hatuna wasimamizi na viongozi waliobora tutaendelea kuumia,ila kwa sasa dalili zina onyesha hatuna usimamizi wala viongozi bora.

Tukubari tu Magu alikuwa msimamizi na kiongozi bora, tukubali nchi sio kwamba haina mifumo mizuri bali inakosa wasimamizi na viongozi walio bora.
 
Mstari huo wa mwisho naona kama unajibu mstari wa kwanza mkuu, hivi umejaribu kuwaza kidogo ulipokuwa unaiandika hiyo mistari?
Kumbuka Siro alipendekezwa na Makonda kwa mwendazake na ndio akiwa IGP; sasa Makonda yeye ni kundi la GANG, hivyo wewe kwa akili yako unadhani Siro yuko kundi lipi? Siro hakupendezwa na mama kumuamuru kumrudisha Wambura Dar. ili hali yeye kwasababu zake Ndio alimuondoa!!!
 
Tuna wazee wenye werevu wengi nchi hii ila tuna mzee mjinga kama wewe kwa akili hii lazima umebambikiwa watoto kawapime DNA. Wewe ulizaliwa na smart phone kila jambo tunajifunza takataka wewe. Mpuuzi ww mimi nina elimu kushinda yako usiongee kufurahisha uzee wako. Uwe na akili siku nyingine mata core yako. Jikaze baba msiba umeshatokea. Usiwe na tabia ya Farasi kupenda kupandwa.
Mim ni yule mzee ninaemweka mama yako mzazi mjini kamuulize vizuri anajua Siri ya mgegedo wangu , muulize atakusimulia
 
Back
Top Bottom