Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Watu walishaanza kusahau haya mambo.

Hiyo ni ndani ya miezi miwili albino, ujambazi na mifumo vurugu mechi serikalini.

Like I always wananchi wasioingia mitandaoni ndio waamuzi wa mwisho.

Eventually atakuja kuelea hakuna namna nyingine zaidi ya ile njia ya mtangulizi wake.

Samia ni Samia hakuna anaetaka afanane na Magufuli kwenye kila kitu but when it comes to leadership style only some kind of autocracy works in Tanzania.

One day wataelewa
 
We don't know what you mean in this thread. I mean we don't know what you talking about! Just tuambie reason ya kumshirikisha raisi Samia na hilo tukio la ujambazi wa mbezi beach.
Huyu ni mtoto wa mwisho wa hayati, ni Yatima anayeamini kwamba kipindi cha Jiwe kulikuwa hakuna tukio la mauaji Wala ujambazi,yameanza baada ya hayati kukata kamba.
 
Muda Utaongea tu.

Endelea kushupaza shingo.

Hapa hatuna kiongoz
Bali yupo Samia .Rais wetu good gooo mama. Enzi za mwendazake zimepita lazima maisha yaendelee.Siku nyingine CCM mpate akili ya kuweka makamu wa rais.Mlijua ni ceremonial position.

Sasa kawa rais bila kura.Wamama oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.Safari hii wanaume mtaenda labor msipotafuta hela.Kazi kulilia mwanaume mwenzenu.Kaza msuli
 
Bali yupo Samia .Rais wetu good gooo mama .Enzi za mwendazake zimepita lazima maisha yaendelee.Siku nyingine CCM mpate akili ya kuweka makamu wa rais.Mlijua ni ceremonial position.Sasa kawa rais bila kura.Wamama oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.Safari hii wanaume mtaenda labor msipotafuta hela.Kazi kulilia mwanaume mwenzenu.Kaza msuli
Ww ushuzi kweli ww
 
Milioni 8 ama 10?

Jambo la pili, kuhamisha pesa kiasi chochote kutoka bank moja hadi nyingine ni elfu kumi tu.

Usitembee na pesa zote hizo unahatarisha maisha yako kwa gharama ndogo sana ya elfu 10 tu.

Sasa jamaa anachukua 8M bank moja anaenda nayo bank nyingine badala ahamishw kwa only 10k tu.
Yaani naona elimu ya bank bado kabisa.
 
Huyu ni mtoto wa mwisho wa hayati, ni Yatima anayeamini kwamba kipindi cha Jiwe kulikuwa hakuna tukio la mauaji Wala ujambazi,yameanza baada ya hayati kukata kamba.
Nasikia Mboyee yuko Mahututi tena Chemistry ya Astra zeneca imegoma muda si mrefu parapanda la Mboye katili jizi na tapeli la HI
 
Bali yupo Samia .Rais wetu good gooo mama .Enzi za mwendazake zimepita lazima maisha yaendelee.Siku nyingine CCM mpate akili ya kuweka makamu wa rais.Mlijua ni ceremonial position.Sasa kawa rais bila kura.Wamama oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.Safari hii wanaume mtaenda labor msipotafuta hela.Kazi kulilia mwanaume mwenzenu.Kaza msuli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom